Je, utamkumbuka Hayati Magufuli kwa mambo gani?
Yaani Shujaa Magufuli alikuwa Mtu wa kujichanganya sana na raia wa kawaida ndio sababu atapendwa hadi mtondogoo

Kila nikikumbuka Swaga zake za kula samaki wa kukaanga ferry na kunywa kahawa vijiweni nasema hakika Mwamba alikuwa Mtu wa Watu

Naona Tundu Lisu naye anaigaiga pale Nkasi na yeye alikabidhiwa jogoo na Aida

RIP Shujaa Magufuli
Huu Uzi ni wa kusifu na kuabudu,atakayejichanganya aponde atakula mvua ya mitusi ya kufa mtu.

Sent from my 2201116TG using JamiiForums mobile app
 
Yaani Shujaa Magufuli alikuwa Mtu wa kujichanganya sana na raia wa kawaida ndio sababu atapendwa hadi mtondogoo

Kila nikikumbuka Swaga zake za kula samaki wa kukaanga ferry na kunywa kahawa vijiweni nasema hakika Mwamba alikuwa Mtu wa Watu

Naona Tundu Lisu naye anaigaiga pale Nkasi na yeye alikabidhiwa jogoo na Aida

RIP Shujaa Magufuli
Usisahau kulala kwenye mawe Chamwino
 
Yaani Shujaa Magufuli alikuwa Mtu wa kujichanganya sana na raia wa kawaida ndio sababu atapendwa hadi mtondogoo

Kila nikikumbuka Swaga zake za kula samaki wa kukaanga ferry na kunywa kahawa vijiweni nasema hakika Mwamba alikuwa Mtu wa Watu

Naona Tundu Lisu naye anaigaiga pale Nkasi na yeye alikabidhiwa jogoo na Aida

RIP Shujaa Magufuli
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Back
Top Bottom