libeva
JF-Expert Member
- Mar 25, 2015
- 4,465
- 3,615
Hivi Makonda na Cyprian Musiba wapo wapi hawa? Mlikuwa mnaimba mapambio pamoja we ukipiga huku wao wanaita vipaza sauti.Yaani Shujaa Magufuli alikuwa Mtu wa kujichanganya sana na raia wa kawaida ndio sababu atapendwa hadi mtondogoo
Kila nikikumbuka Swaga zake za kula samaki wa kukaanga ferry na kunywa kahawa vijiweni nasema hakika Mwamba alikuwa Mtu wa Watu
Naona Tundu Lisu naye anaigaiga pale Nkasi na yeye alikabidhiwa jogoo na Aida
RIP Shujaa Magufuli