Je, utamkumbuka Hayati Magufuli kwa mambo gani?
Yaani Shujaa Magufuli alikuwa Mtu wa kujichanganya sana na raia wa kawaida ndio sababu atapendwa hadi mtondogoo

Kila nikikumbuka Swaga zake za kula samaki wa kukaanga ferry na kunywa kahawa vijiweni nasema hakika Mwamba alikuwa Mtu wa Watu

Naona Tundu Lisu naye anaigaiga pale Nkasi na yeye alikabidhiwa jogoo na Aida

RIP Shujaa Magufuli
Hivi Makonda na Cyprian Musiba wapo wapi hawa? Mlikuwa mnaimba mapambio pamoja we ukipiga huku wao wanaita vipaza sauti.
 
Yaani Shujaa Magufuli alikuwa Mtu wa kujichanganya sana na raia wa kawaida ndio sababu atapendwa hadi mtondogoo

Kila nikikumbuka Swaga zake za kula samaki wa kukaanga ferry na kunywa kahawa vijiweni nasema hakika Mwamba alikuwa Mtu wa Watu

Naona Tundu Lisu naye anaigaiga pale Nkasi na yeye alikabidhiwa jogoo na Aida

RIP Shujaa Magufuli
Kwani Magufuli na Iddi Amini tofauti ilikua ipi? Yule alikua mshamba kupindukia
 
Yaani Shujaa Magufuli alikuwa Mtu wa kujichanganya sana na raia wa kawaida ndio sababu atapendwa hadi mtondogoo

Kila nikikumbuka Swaga zake za kula samaki wa kukaanga ferry na kunywa kahawa vijiweni nasema hakika Mwamba alikuwa Mtu wa Watu

Naona Tundu Lisu naye anaigaiga pale Nkasi na yeye alikabidhiwa jogoo na Aida

RIP Shujaa Magufuli
 
Yaani Shujaa Magufuli alikuwa Mtu wa kujichanganya sana na raia wa kawaida ndio sababu atapendwa hadi mtondogoo

Kila nikikumbuka Swaga zake za kula samaki wa kukaanga ferry na kunywa kahawa vijiweni nasema hakika Mwamba alikuwa Mtu wa Watu

Naona Tundu Lisu naye anaigaiga pale Nkasi na yeye alikabidhiwa jogoo na Aida

RIP Shujaa Magufuli
Dishi liliyumba kitambo tu wewe unaona swaga
 
Yaani Shujaa Magufuli alikuwa Mtu wa kujichanganya sana na raia wa kawaida ndio sababu atapendwa hadi mtondogoo

Kila nikikumbuka Swaga zake za kula samaki wa kukaanga ferry na kunywa kahawa vijiweni nasema hakika Mwamba alikuwa Mtu wa Watu

Naona Tundu Lisu naye anaigaiga pale Nkasi na yeye alikabidhiwa jogoo na Aida

RIP Shujaa Magufuli
Alifanya vile kufunika uelewa wake mdogo wa masuala. Hakukujua chochote na alikuwa Hana uwezo kabisa. Mpaka anakufa alikuwa anajuta kwa Nini zari lilimuangukia mpaka akawa rais ndo mana hakujua afanye Nini ofisini zaidi ya kula mahindi tu
 
Back
Top Bottom