Je, utamkumbuka Hayati Magufuli kwa mambo gani?
Yaani Shujaa Magufuli alikuwa Mtu wa kujichanganya sana na raia wa kawaida ndio sababu atapendwa hadi mtondogoo

Kila nikikumbuka Swaga zake za kula samaki wa kukaanga ferry na kunywa kahawa vijiweni nasema hakika Mwamba alikuwa Mtu wa Watu

Naona Tundu Lisu naye anaigaiga pale Nkasi na yeye alikabidhiwa jogoo na Aida

RIP Shujaa Magufuli
Mno mno watakuja wapaka MV sasa
 
Sasa,hizo ni swaga au unyalukwale?😂😂😂😂
 
Yaani Shujaa Magufuli alikuwa Mtu wa kujichanganya sana na raia wa kawaida ndio sababu atapendwa hadi mtondogoo

Kila nikikumbuka Swaga zake za kula samaki wa kukaanga ferry na kunywa kahawa vijiweni nasema hakika Mwamba alikuwa Mtu wa Watu

Naona Tundu Lisu naye anaigaiga pale Nkasi na yeye alikabidhiwa jogoo na Aida

RIP Shujaa Magufuli
Kwa kifupi nchi aliipa vibe la kutosha! Watu walichangamka! Sasa hivi pamepooza hadi tunasinzia!
 
Back
Top Bottom