Na Kwa kuwakomoa....at mtageuka mashetaniShida kubwa ya John Magufuli ni kuwabana watu kwa ubaguzi au kwa upendeleo.
Magufuli alikuwa na ushamba wa madaraka, japo alikuwa na mazuri yake.Na Kwa kuwakomoa....at mtageuka mashetani
Katuachia mazuri mengi tu ila alipungukiwa upendo Kwa watuMagufuli alikuwa na ushamba wa madaraka, japo alikuwa na mazuri yake.
Mtu aliyekua waziri zaidi ya miaka 20 serikalini alikua na ushamba wa madaraka, according to wewe kibwengo ambae hujawahi hata kua kiongozi wa familia yenu hapo sebuleniMagufuli alikuwa na ushamba wa madaraka, japo alikuwa na mazuri yake.
Hahaha unachekesha wewe! Evidence gani? Hawa mafisadi walioko madarakani sasa hivi ndio waweke evidence? Kwamba sisi evidence zao hatuna au? Hivi zikiwekwa evidence za kifo cha Rais Magufuli unadhani patakalika hapa? Hiyo 2025 kazi wanayoCC: BISWALO na DOTTO JAMES
Plea Bargain ... China kweli jamani ?
Yule Mama eti kasema, Mh! uzushi tu
Na bado subiri 2024 mwishoni au 2025 mwanzoni ndio utajua hujui maevidence yatakapo achiwa
R.I.P MWAMBA WA AFRIKA JPMKwenye ufisadi yule Mwamba alikuwa hatakagi ujinga kabisa na hili hata CHADEMA wanalielewa vizuri.
Escrow hakuna aliyeambiwa arudishe hela kama kwenye EPA lakini mafisadi wa kanda ya ziwa walipanga foleni BoT kuzirejesha wakiongozwa na Ngeleja na Tibaijuka wote kutoka kanda pendwa.
Mwamba alitisha sana.
RIP JPM
Mimi naona iwekwe siku maalumu ya maandamano kumkumbuka jabali la Africa na dunia kila mmoja alimuimba!Kwenye ufisadi yule Mwamba alikuwa hatakagi ujinga kabisa na hili hata CHADEMA wanalielewa vizuri.
Escrow hakuna aliyeambiwa arudishe hela kama kwenye EPA lakini mafisadi wa kanda ya ziwa walipanga foleni BoT kuzirejesha wakiongozwa na Ngeleja na Tibaijuka wote kutoka kanda pendwa.
Mwamba alitisha sana.
RIP JPM
Wakati wa Magufuli,hata tuliyasahau!Kwenye ufisadi yule Mwamba alikuwa hatakagi ujinga kabisa na hili hata CHADEMA wanalielewa vizuri.
Escrow hakuna aliyeambiwa arudishe hela kama kwenye EPA lakini mafisadi wa kanda ya ziwa walipanga foleni BoT kuzirejesha wakiongozwa na Ngeleja na Tibaijuka wote kutoka kanda pendwa.
Mwamba alitisha sana.
RIP JPM
Miaka miwili Tangu arudi mavumbini mnashindwa nn kuzirudisha?mmesha recover Tsh ngapi mpaka muda huu?au hado mnamuogopa?Mjinga tu huyo aliiba Til 1.5