Je, utamkumbuka Hayati Magufuli kwa mambo gani?
Hua najiuliza ile Mahakama ya mafisad iliyoanzishwa iliwafunga gerezani mafisad wangap? Halafu eti tulikua tunaimbiwa role model wetu ni Chinese 🤣🤣🤣🤣, wenzetu mpaka wamefika pale na uzalendo mkubwa walionao ni kwasababu sheria zao kweny wizi, ufisadi na ubadhirifu wa mali za umma ni kali mnoo hsziangalii huyu ni nan. Ni aidha kunyongwa au kifungo maisha na hakuna braaaa braaaa 🤣 za plea bargain!
 
Hata Mobutu alikua na mazuri mengi tu madkteta wengi wazuli sana midomoni pia hujitahidi sana kumtaja Mungu Ili kuwaaminisha waliosemwa na dk (Moreri) wawashangilie nakujiapiza wanawapenda sana Huku wakila mahindi ya kuchoma
 
CC: BISWALO na DOTTO JAMES

Plea Bargain ... China kweli jamani?

Yule Mama eti kasema, Mh! uzushi tu

Na bado subiri 2024 mwishoni au 2025 mwanzoni ndio utajua hujui maevidence yatakapo achiwa
 
Africa inahitaji rais aina ya JPM
Ukiangalia nchi nyingi zenye maendeleo zilipitia viongozi wakali,

Rusia alikuwepo Stalin,utajiri wa Ujerumani na kua nchi yenye viwanda vingi na tajiri zaidi Europe,ni matokeo ya utawala usiochekea watu hovyo wa Adolf Hitler,

China ya leo ni matokea ya utawala wa Mao,maendeleo hua yana shuruba zake hilo ni jambo la kawaida,Wazungu waliendeleza kwanza nchi zao ndio wakajiwekea demokrasia,maendeleo ya nchi na demokrasia haviwezi kwenda pamoja hata siku moja,ndio maana wazungu wanafuatilia na kulazimisha demokrasia Africa coz wanajua huo ni mtego,

Rest in peace The late President JPM.
 
CC: BISWALO na DOTTO JAMES

Plea Bargain ... China kweli jamani ?

Yule Mama eti kasema, Mh! uzushi tu

Na bado subiri 2024 mwishoni au 2025 mwanzoni ndio utajua hujui maevidence yatakapo achiwa
Hahaha unachekesha wewe! Evidence gani? Hawa mafisadi walioko madarakani sasa hivi ndio waweke evidence? Kwamba sisi evidence zao hatuna au? Hivi zikiwekwa evidence za kifo cha Rais Magufuli unadhani patakalika hapa? Hiyo 2025 kazi wanayo
 
Kwenye ufisadi yule Mwamba alikuwa hatakagi ujinga kabisa na hili hata CHADEMA wanalielewa vizuri.

Escrow hakuna aliyeambiwa arudishe hela kama kwenye EPA lakini mafisadi wa kanda ya ziwa walipanga foleni BoT kuzirejesha wakiongozwa na Ngeleja na Tibaijuka wote kutoka kanda pendwa.

Mwamba alitisha sana.

RIP JPM
R.I.P MWAMBA WA AFRIKA JPM
 
Mimi naona iwekwe siku maalumu ya maandamano kumkumbuka jabali la Africa na dunia kila mmoja alimuimba!
 
Kwenye ufisadi yule Mwamba alikuwa hatakagi ujinga kabisa na hili hata CHADEMA wanalielewa vizuri.

Escrow hakuna aliyeambiwa arudishe hela kama kwenye EPA lakini mafisadi wa kanda ya ziwa walipanga foleni BoT kuzirejesha wakiongozwa na Ngeleja na Tibaijuka wote kutoka kanda pendwa.

Mwamba alitisha sana.

RIP JPM
Wakati wa Magufuli,hata tuliyasahau!
Sasa hivi ka-nchi kamekuwa ka wadokozi noaka TRA wanauza leseni Bandia.
 
Back
Top Bottom