TikTok2021
JF-Expert Member
- Nov 14, 2022
- 690
- 1,060
Inamaanisha wakati alipokuwa waziri wa ujenzi?.
Unamkumbuka nyumbanyeupe alikuwa nani kipindi hicho ama unajitoa akili.
JPM hakuwa na uwezo wa kununua hiyo meli bila idhini ya mkuuwake wa kazi.
Wana balaa sana, 2025 watalitaja tu. Watake wasitake.wamtaje jina au wakwepe kumtaja jina hawamuondolei chochote legacy yake iko hai inaonekana inamtetea yenyewe hakuna mwananchi anaepita njia ya ubungo kibaha bila kuona maendeleo makubwa yaliyofanyika awamu ya tano,hao wanaopata vigugumizi kumtaja ukiwauliza wamelifanyia nini Taifa hawana la kusema ni bla bla tu
1. Marekebisho kwa 7.5B ni weezy tu kama wizi mwingine.Vp kuhusu hii ya kufanyia marekebisho kwa 7.5B kivuko cha 8B?by theway hakuna speedbot ya Bahharesa ya 4B acheni story za vijiweni ingekua rahisi hivyo hio biashara matajiri wengi wangeifanya, ingekua km biashara ya mabasi ya mikoani.
1.5 trilion zilikuwa ni Audit Findings tu sio Wizi wewe.1.5T na 900B hewa za ikulu zilirudishwa?
1.5 trilion zilikuwa ni Audit Findings tu sio Wizi wewe.
Kichwa chako ushaamua kukigeuza mfuniko wa shingo.
Huna evidence yoyote zaidi ya chuki.Kawadanganye watu wa Lumumba kama sio wizi ule.
Huna evidence yoyote zaidi ya chuki.
Narudia tena asingekuwa Magufuli, makao makuu yasingehamia Dodoma, kulikuwa na ujanja ujnaja mwingi wa kuhamia huko, lakini aliyetekeleza ni yeye. Hata kama Nyerere alitoa hoja kulikuwa hakuna mkakakti wa makusudi kabisa. Yaani ofisi za wizara ziliendelea kujengwa Dar. Huku mdomoni tunasema tunahamia DodomaView attachment 1734652
Picha: Hayati Rais Magufuli enzi uhai wake
This is a special thread and a tribute to the late J.P.M.
Najua tupo katika kipindi cha masikitiko kama taifa, Jemedari wetu amefariki dunia, kama lisemavyo neno la Mungu katika kitabu cha biblia kuwa mfalme hawezi kuokolewa kwa na jeshi lake kubwa bali ni Bwana hutuponya na mauti (Zaburi 33:16), yaliyoandikwa yametimia Mungu amlaze mahala pema peponi.
Hakika tutammiss, kama ule usemi usemao umuhimu wa mtu huonekana zaidi asipokuwepo.
Yafuatayo ni mambo aliyonikosha J. P. M (R. I. P).
1. Nidhamu kwenye taasisi za serikali, kuanzia matumizi, utendaji wa kazi na utoaji wa huduma.
2. Msimamo bila kujali nchi nyingine zimeamuaje, kimsingi maamuzi mengi yalifanywa kuzingatia maslahi ya nchi sio mkumbo ( i.e chanjo ya corona).
3. Super-Mega projects zenye maslahi ya muda mrefu, S.G.R, Nyerere, Mwendokasi n.k.
4. Kuwanyoosha majirani zetu walizoea kutuibia na kutuchezea michezo ya ajabu ajabu.
5. Kuleta siasa za kuambiana ukweli na sio za kubembelazana hovyo.
6. Kukomesha ujambazi na matukio ya kihalifu majumbani.
7.
Itaendelea...
PIA SOMA>> TANZIA - Rais John Pombe Magufuli afariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar
Ona sasa unavyounga unga.Muulize Prof Assad ndiyo aliofichua huo wizi mpaka mkamfukuza.
Kwa imani yangu, bila shaka JPM ni mmoja wa Watakatifu waliopo huko Mbinguni. Hii ni kutokana na uongozi wake wa kuguswa sana na shida za Watanzania.
Ona sasa unavyounga unga.
Hujui hata sababu za Assad kutoongezewa mda.
Ndio maana umekalili wizi.
Iko hivi; Prof Assad hakuongezewa mda baada ya kwenda nje ya nchi na kufanya siasa za ukaguzi wa hesabu kwenye media za kitaifa kulikandia bunge. over.
Sema mwamba wa chato, ivi JPM alifanya nn Cha kukumbukwa kwa Africa Hadi mnampa jina kubwa ivyo? Aliwahi kwenda hata AU akatoa hotuba ya kutisha kwa ajili ya Afrika? Au UN akathubutu kunguruma kule hata wakamjua? Yule ni mwamba wa chato, ndani ya miaka mitano aliitoa kwenye hadhi ya Kijiji Hadi mji, angemalizia mi5 ingekuwa manispaaR.I.P MWAMBA WA AFRIKA JPM
Tumia Ubongo wako vizuri na pia tumia fedha ulizolipiwa na walipa kodi kukusomesha ili kusaidia nchi na sio kubwabwaja tu.
Unataka kuniambia kesi aliyofungua zitto kuhusu kufukuzwa kazi Prof Assad na "Mtu furani" ambayo inakiuka katiba haijui hukumu yake?
Zitto alifungua kezi zidi ya nani?Tumia Ubongo wako vizuri na pia tumia fedha ulizolipiwa na walipa kodi kukusomesha ili kusaidia nchi na sio kubwabwaja tu.
Unataka kuniambia kesi aliyofungua zitto kuhusu kufukuzwa kazi Prof Assad na "Mtu furani" ambayo inakiuka katiba haijui hukumu yake?
7. Alipiga marufuku Mikutano, Warsha nk nje ya sehemu za kazi kuwa ni upotevu wa muda na fedha za umma. Lakini Serikali yote ya Awamu ya Sita imejikusanya Arusha kutumbua tu na si vinginevyoView attachment 1734652
Picha: Hayati Rais Magufuli enzi uhai wake
This is a special thread and a tribute to the late J.P.M.
Najua tupo katika kipindi cha masikitiko kama taifa, Jemedari wetu amefariki dunia, kama lisemavyo neno la Mungu katika kitabu cha biblia kuwa mfalme hawezi kuokolewa kwa na jeshi lake kubwa bali ni Bwana hutuponya na mauti (Zaburi 33:16), yaliyoandikwa yametimia Mungu amlaze mahala pema peponi.
Hakika tutammiss, kama ule usemi usemao umuhimu wa mtu huonekana zaidi asipokuwepo.
Yafuatayo ni mambo aliyonikosha J. P. M (R. I. P).
1. Nidhamu kwenye taasisi za serikali, kuanzia matumizi, utendaji wa kazi na utoaji wa huduma.
2. Msimamo bila kujali nchi nyingine zimeamuaje, kimsingi maamuzi mengi yalifanywa kuzingatia maslahi ya nchi sio mkumbo ( i.e chanjo ya corona).
3. Super-Mega projects zenye maslahi ya muda mrefu, S.G.R, Nyerere, Mwendokasi n.k.
4. Kuwanyoosha majirani zetu walizoea kutuibia na kutuchezea michezo ya ajabu ajabu.
5. Kuleta siasa za kuambiana ukweli na sio za kubembelazana hovyo.
6. Kukomesha ujambazi na matukio ya kihalifu majumbani.
7.
Itaendelea...
PIA SOMA>> TANZIA - Rais John Pombe Magufuli afariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar
Kwamba siasa ni mtaji wa kujitajirishaKushughulika na kero za miaka nenda rudi na kutuaminisha kuwa tunaweza.
Kujaribu kutuheshimisha wananchi wa kawaida mbele ya watumishi wa umma.
Ile mentality ya ujanjaujanja aliyoikuza JK na kuwa siasa/nafasi za siasa ziikuwa za kununua kufutika kwa kiasi kikubwa.
Umehitimisha tofauti kubwa kati ya Magufuli na MaRais wengine kuwa alijari zaidi maisha ya watawaliwa wasio nacho km kuboresha miundo mbinu na huduma za jamiiJPM ulifahamu yaliyokuwa yanaendelea nchini katika utumishi wako wa miaka ishirini na tano kwenye medani ya siasa. Wakati wa uongozi wako ulijali Sana wananchi wa daraja la chini ambapo tulinunua mchele tsh. 1200/= kwa kilo; kwa utawala wa Sasa unaojipambanua kwa kuingiza magari 60 ya Mwigulu Lameck Nchemba kwa siku moja; kilo moja ya mchele kwa Sasa tunainunua kwa tsh. 3500/=. Hakika tutakumbuka baba ila uliokuwa umeziba mirija yao ya matumizi mabaya ya fedha ya umma daima wataendelea kukulaani bila kufahamu kuwa ulishalala milele na hakuna siku amabayo utaweza kuwajibu.
Wamebaki wanasiasa uchwara akina Hussein Bashe wasiofahamu hata jembe linashikwaje lakini eti leo Bashe ndye waziri wa kilimo. Wananchi tunaumia Sana Tena Sana lakini BEPARI Bashe anajinasibu kuwa mazao sio Mali ya serikali kwa hiyo wakulima waachwe wauze wanavyotaka. Mkulima wa kawaida hanufaiki na kauli ya kijinga, KEJELI, DHIHAKA na KIZANDIKI ya bepari Hussein Bashe bali anawapaka mafuta kwa mgongo wa chupa kwani wanufaika wakuu wa mfumuko Mkubwa na wa kutisha wa Bei ya chakula Ni bepari Bashe na washirika wake.
Wakati wa uongozi wako hakukuwa na nyongeza ya mshahara lakini maisha yaliendelea bila shida kutokana umakini wako wa kudhibiti mfumuko wa Bei ya chakula. Leo mtu anaona vema kuhudumia watoto wa jirani wake wakati nyumbani kwake watoto wa wanalala njaa!. Daima tutakumbuka JPM.