Kifo ni kifo tu. Ingekua kifo ni adhabu basi wazuri wasingekufa, kifo ni destiny ya kila mtu.

Hujajibu swali, je ukifa wewe ni mungu ame deal na pomposity?
Kwa nini Magufuri alikuwa anaua asiowapenda kama ni kifo ni kifo tu.Tuache upumbavu mtu mwovu lazima asemwe Magufuri alikuwa mtu mbaya.Na kifo chake ni raha kwa kila raia mtaka mema ya nchi.
 
Kwa nini Magufuri alikuwa anaua asiowapenda kama ni kifo ni kifo tu.Tuache upumbavu mtu mwovu lazima asemwe Magufuri alikuwa mtu mbaya.Na kifo chake ni raha kwa kila raia mtaka mema ya nchi.
Wewe hujitambui hata wakati wa kikwete kuna watu aliuwa Magufuli hakuwa muuaji Ila aliwachukia watu ovyo Kama wanasiasa uchwara,waliochukuwa na cheti bandia Nk ndo maana mnamchukia.
 
Kwa nini Magufuri alikuwa anaua asiowapenda kama ni kifo ni kifo tu.Tuache upumbavu mtu mwovu lazima asemwe Magufuri alikuwa mtu mbaya.Na kifo chake ni raha kwa kila raia mtaka mema ya nchi.
Aliwaua kina nani? Unaweza kunipa orodha ya waliouwawa na Magufuli?

Mimi naitakia mema nchi yangu na sijafurahishwa na kifo chake. Hiyo raha ya kila raia mtaka mema ya nchi orodha yake ama sensa uliifanyia wapi na lini?
 
Wewe hujitambui hata wakati wa kikwete kuna watu aliuwa Magufuli hakuwa muuaji Ila aliwachukia watu ovyo Kama wanasiasa uchwara,waliochukuwa na cheti bandia Nk ndo maana mnamchukia.
Wanasiasa uchwara kwa tafsiri yake au yako? Kwamba aliokuwa nao kwenye chama chake ndio hawakuwa uchwara?
 
Unasema uongo hata aibu huna!
Looh
 
Wakati wewe unamkumbuka kwa mabaya
Wapo tunaomkumbuka kwa mema pia
 
Aliwaua kina nani? Unaweza kunipa orodha ya waliouwawa na Magufuli?

Mimi naitakia mema nchi yangu na sijafurahishwa na kifo chake. Hiyo raha ya kila raia mtaka mema ya nchi orodha yake ama sensa uliifanyia wapi na lini?
Sipo mahakamani lakini ukweli unabaki pale pale kuwa alikuwa Rais muaji kwa wale wote ambao hakuwataka.
 
Sipo mahakamani lakini ukweli unabaki pale pale kuwa alikuwa Rais muaji kwa wale wote ambao hakuwataka.
Aliua nani unabaki unaharisha tu hapa. Alikua muuaji wewe uko hai, si ingekua umekufa.

Nipe orodha ya aliowaua Magufuli huna unabaki kutopoka tu.

Hizo stori za kizushi na kidaku kawape mataahira wenzio. Ukiwa na allegations uwe na ushahidi.
 
Mimi magu kwenye covid 19 sikuwai pingana nae tulipingana nae kwenye Mambo mengine kwanzia kunipa mkuu wa wilaya mnyang'anyi (saa mbaya)
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kwa hali ilivyo, si mkulima wala mfanya kazi, machinga wala mama ntilie mwenye ndoto ya kuondokana na umasikini, isipokuwa ni ule ubishi tu usiosaidia chochote, hasa wafanya kazi wanaubishi usiowasaidia hata wao,

Lakini kwa hali ya sasa, baadhi ya wafanya kazi wengi, wamejaa madeni na hawajui watayalipa lini na kwa kutumia nini! Wamejaa madeni ili tu waweze kukidhi maisha yao ya sasa na siyo ya badaye! Je baadaye yao ni nini? Ni umasikini tu uliokosa njia ya kuondokana nao

Ufutwaji wa tozo na kodi zisizo na umhimu na zilizokuwa kandamizi kwa maendeleo hasa kwa walala hoi, ni moja ya mpango wa serikali ya JPM kuwaondoa wananchi wengi kwenye umasikini wao!

Udhibiti wa bei bidhaa muhimu, ni mwendelezo wa kumrahisishia mwananchi aondokane na umasikini.

Utoaji wa huduma bora kwenye Taasisi za Serikali, ushindani wa kibiashara na kuruhusu kila mwananchi afanye kazi aitajayo na mahali popote bila kubughudhiwa, ilikuwa ni njia bora kumleta mwananchi mlala hoi kwenye unafuu wa maisha!

Kuwaacha huru wamachinga, wa mama ntilie wafanye biashara popote, hii ilikuwa pia ni njia na mpango mzuri wa kuwafanya watanzania wengi wajikomboe na umasikini.

Kufuta kodi kwa wakulima wadogo wadogo na kodi ya mazao yao, wafugaji, bodaboda kufutiwa faini zilizokuwa ni kero na ni wizi kwao n.k, bado hii iliwafanya wengi wawe na ndoto za kuondokana na umasikini.

Kwa sasa hata haieleweki ni nani tena mwenye uwezo wa kujikomboa na umasikini hasa wananchi wa kawaida.

Wanakamliwa hata kile kidogo cha kwao. Kwa hali hii, Kifo cha Magufuli kimefanya jamii kubwa kukata tamaa na kuondokana na ndoto ya kuondokana na umasikini wao!

Bidhaa bei ghali, wamama ntilie wametupwa kule, wamachinga hawatakiwi kuonekana mijini! Bodaboda kadhalika!
 
Huyo jamaa unayemtetea kazima ndoto za vijana wengi sana Tanzania kuliko hata unavyofikiri , hakika kifo chake kimerudisha matumaini kwa vijana wengi wa nchi hiii najua hutokubaliana na mimi lakin ndyo ukweli huo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…