Wanaojiita wazalendo wanakuambia nidhamu na uchapaji kazi uliongezeka[emoji28]

Nidhamu my foot.[emoji3525]
 
Tumeshahama darasa kutoka la 5 sasa tumeingia la 6. Je Mwalimu na syllabus yake wataendana na uwezo na hali za na wanafunzi wote bila kubagua Darasa.
 
Kusitisha uhamisho wa wafanyakazi bila sababu za msingi matokeo yake usaliti ktk ndoa ulizidi, wajanja wa connection ndio waliweza kuhama walala hoi tumeozea vijijini.
 
Kwa hali niliyoona Mwanza toka Airport, mataifa ya watu wanaotazama kwenye TV lazma wasisimke. Nchi yetu imezizima. Afrika imezizima na Dunia imezizima. Ameondoka kiongozi wa wanyonge. Kiongozi wa watu wa kawaida kabsa.

Nadhan hii haijawahi kutokea. Na ikawe chachu ya Viongozi wetu kutuletea Viongozi wengne wazalendo wengi wenye Kariba ya JPM kwa vizazi na vizazi.

Just imagine, how many years have we mourned JK Nyerere. Unaweza usikubaliane na Mimi Leo lakin muda utatupa majibu. For over a decade we still mourn JK Nyerere. Ndio sabab ya kusema angekuwepo ingekuwaje. I pray for Nyerereism and Magufulism in our leaders. R.I.P JPJM
 
Kiminya demokrasia na Uhuru ya vyombo vya habari
 
Kulea lea kundi la vijana wahuni kama kina sabaya, bashboy, chalamila, musiba etc.
 
Umeweza kumuelezea vzr sana kwa maneno machache.
 
Umejitahidi sana mkuu ingawa kuna mengi sana umeyaacha likiwemo la kufuga na kulealea vijana wahuni waliokua wanaharibu sana taswira ya uongoz wake, konda boy na wenzie.
 
Sikuwahi kuwa na ushabiki kwa Aliyekuwa Rais wa Tanzania Marehemu John Pombe Magufuli. Sikuwahi kuwa mshabiki au mfuasi wa mwanasiasa yeyote nchini au Chama chochote cha Siasa.

Nlimkosoa na kumsifia pale nilivyoona. Kwa haya Mazishi yaliyofanyika na jinsi watu wa hali ya chini wanavyohuzunika na kuomboleza. Nikiangalia mafisadi na wafanyabiashara ambao hakuwa waamininifu wakisheherekea. Naanza jiuliza mara nyingi nyingi.

Inawezekana tutakuja juta hapo baadaye.naona jinsi ambavyo waliaji wakubwa ni maskini na wa kipato cha chini. Na wanaofurahia ni wafanyabiashara ambao hawakuwa waaminifu.

Naona watu wanavyolia,wanavyoumia,wanavyohangaika na huu msiba. Na hakuna aliyewawezesha. Nasema moyoni "hakika huyu alikuwa ni mwanaafrika, mwananchi"

Nimejiwa na simanzi kubwa. Na ninaomba msamaha kwa yale ambayo nilimkosea kwa njia moja au nyingine. Naye kama kuna ambayo alinikosea nmemsamehe. Alikuwa binadamu kama mimi na wewe.

Nimesikitika sana na kuumia.
 

-Ben Saanane.
-Azory Gwanda
-Rujwabe
-Kanguye
 
Na msaliti mzee wa MIGA Lisu anashangilia sana.

Amefikia hatua ya kuionea aibu maiti kwamba kwa nini inaliliwa sana.
 
Alikuwa vizuri sana.
Sema kuna wakati watendaji kazi wake kwenye idara mbalimbali walikuwa sometimes wanamwangusha..

RIP JPM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…