Je, utamkumbuka Hayati Magufuli kwa mambo gani?
Kuna watu wamezoea kuishi kama watumwa kulingana na walivyolelewa.

Lakini kwa tuliolelewa kwa uhuru hakika tulionja ladha ya ukoloni.

Namwombea mama afute ukoloni, nchi yetu ipate uhuru wake tena.
 
1. Chato International Airport
2. Chato National Park
3. Trafic light Chato
4. 3 star hotel Chato (TANAPA)
5. Bohari ya kanda madawa Chato
6. Hospital ya rufaa Chato
7. Stadium (proposa)
8. CRDB Chato
-Veta afrika nzima hakuna
-Kesi za uhujumu uchumi
-Waliosema mgonjwa wanasubiri kufunguliwa kesi za uhaini
(Na kesi zote za uonevu)
 
Kwa kweli sijafurahi kabisa kumpoteza kiongozi mahiri kama john pombe magufuli alikua hodari sana katika uongozi wake mianya ya rushwa alikomesha, uonevu, huduma katika taasisi za kiserikali zilikua zikitolewa kwa heshima na bila ubaguzi, kajenga miradi mingi sana nchini, elimu bure, miundombinu, hudumu hospitalini ziliboreshwa, huduma za maji mikoa mbalimbali alitoa fedha miradi ikamilishwe, uwanja wa ndege wa mwl Julius Nyerere aliukarabati kwa ufupi Rais wangu kifo chako John Pombe Magufuli umeniachia simanzi moyoni mwangu.
 
Alisema ataongeza na kupandisha mishara akikaribia kutoka madarakani. Alisahau mwanadamu anapanga na Mungu anaamua.
Hakuna kiongozi ameweza kufanya makubwa kama magufuli, mbona kipindi kile, mishahara ilipandishwa lakibi huduma katika jamii ni za hovyo kuanzia miundombinu, huduma hospitalini, kilw mmoja kafanya yake ila huyu mzee kaenda extra miles.
 
He is My son's legacy
Amenisaidia Mambo mengi.

JPM kafanya mengi makubwa kuliko Rais yeyote aliwewah pita nakosa la kuandika kabisa vidole vinatetema, Nimelia Mimi leo

Naogopa nchi yetu inarudi shimoni

MUNGU TUANGALIE TENA WAJA WAKO
Really!
 
1. Kutojali demokrasia
2. Kutoshughulikia uonevu uliotendwa dhidi ya wapinzani wake
3. Kutojali mstakabali wa taifa hili bila yeye kwa kujenga mifumo thabiti ya kikatiba na kiuongozi (KUYAPUUZA MAWAZO YA WENGI JUU YA KATIBA MPYA)
4. Kutotoa ajira ipasavyo wakati kuna upungufu mkubwa wa wafanyakazi katika sekta ya umma
5. Kutoongeza mishahara ya wafanyakazi
6. Kujenga miundombinu inayovutia kwa macho
7. Kutufanya tusiaminiane kwa kuzuia freedom of speech (yaani ukitaka kutoa maoni unatazama kushoto na kulia kwanza dahh! )

Mengine yapo tu aisee niishie hapo
 
Rais mwenye roho mbaya
Kuzuia watu wasimwombee Lissu
Jaribio la kuua mawazo mbadala
Kutofuata Katiba Wala Sheria
Hotuba zenye kejeli,Lugha chafu isiyi na staha
Kumshaangaa Shein kulipia maatibabu ya Maalim
Kutukana wazee wastaafu ..Wana kiherere
Kauli za kejeli ,zenyewelekeo wa kidhalilisha wanawake kingono
Kulazimisha watu wafikirri kama yeye
Undugunization
Orodha ni ndefu
Kuharibu Uhusiano na majirani
Kabla ya Ijumaa nilikuwa naomba alone ili ajigunze
Apimzike Anapostahili
 
He is My son's legacy
Amenisaidia Mambo mengi.

JPM kafanya mengi makubwa kuliko Rais yeyote aliwewah pita nakosa la kuandika kabisa vidole vinatetemeka, Nimelia Mimi leo

Naogopa nchi yetu inarudi shimoni

MUNGU TUANGALIE TENA WAJA WAKO
Mambo makubwa yapi? au kubambikia watu kesi

Sent from my Nokia 8.1 using JamiiForums mobile app
 
He is My son's legacy
Amenisaidia Mambo mengi.

JPM kafanya mengi makubwa kuliko Rais yeyote aliwewah pita nakosa la kuandika kabisa vidole vinatetemeka, Nimelia Mimi leo

Naogopa nchi yetu inarudi shimoni

MUNGU TUANGALIE TENA WAJA WAKO
Labda hayo mambo alikufanyia kipekee wewe na familia yako ndio maana unashindwa kuyataja,lakini ukija kwa Taifa huyu mtu alikuwa Kirusi cha umoja na mshikamano wa Taifa letu,na hata kama kuna machache aliyofanya alifanya kwa faida yake binafsi na kikundi chake kichomzunguka. Huyu ni Sadist, alifurahia maumivu na mateso ya wengi. Aende Jehanamu.
 
Back
Top Bottom