Mwamba mtu wa watu R.I.P in eternal heaven
Huo sio upendo ni uoga. Jamaa lilikuwa katili halafu linafosi kupendwa. Lilijrnga majinga mengii na mijitu iliyojibatiza minyonge ikajaa mijini, na mingine yenye Roho MBAYA na wivu ndo ilikuwa inafurahia likifilisi watu na kushushwa utu wa watu. Hakuwa na upendo Bali ni woga. Mi mwenyewe nilikuwa naweka picha yake kabisa lkn moyoni nilikuwa naungua na ufashisti wake.

UKITAKA KUJUA MAPENZI YA KWELI WE ON A MAHALI JAKAYA KIKWETE KATOKELEZEA WATU WANAVYOFURAHI ILE YA ROHONI, AMA WE ANGALIA MAMA AKITOKEA MAHALI, YANI TUNAMOENDA ILE YA ROHONI.

HUYO BWANA JIWE APEPE APEPE. MUNGU AMPUNGUZIE ADHABU ZA KABURI KWANI NAE HAKUWA MALAIKA, ILA ALIZIDI.

KAAA HIVI UNAKUMBUKA LILE TETEMEKO KULE KAGERA ALIJIBU WATU HOVYOOO, WAKATI KULE SYRIA NA UTURUKI WALIPOZALIWA WAKOROFI WAO WANABEMBELEZWA, AISEE JIWE
 
Matumaini kwa mabepari wa kibeberu na vibaraka wake. Ndoto yao, ilivyo ndoto, ilikuwa ndoto wakati wa Hayati. Kwa sasa wanaweza kuona ndoto yao inatimia.

Kwa kweli kwa Mtanzania, ni pigo kubwa, ndoto imezimwa,bila kusahau Muafrika kwa ujumla. Ila, kuna matumaini....baada ya huu mpito.

....baada ya makamu yule kuja huku, ndio mtaelewa viujumbe vya akina Bagonza, Lema, Lissu na Mbowe vina maana gani. 360°/2
 
Huyo jamaa unayemtetea kazima ndoto za vijana wengi sana Tanzania kuliko hata unavyofikiri , hakika kifo chake kimerudisha matumaini kwa vijana wengi wa nchi hiii najua hutokubaliana na mimi lakin ndyo ukweli huo.
Hoja yako ni ya kufikirika zaidi pasipo kuweka ushahidi wa matumaini waliorudishiwa vijana
 
CCM ilinajisi ikulu na nchi kwa kumwingiza mwendawazimu katili
 
Unasomeka mkuu. Kipaza sauti cha nini.

Kwa lugha uliyotumia, na kusiii utafute taarifa kama za maana ya nini kuwa mkweli.
Ukikaa ukafikiria hao wengine uliowataja hawana vijembe vyao, unakuwa unajihadaa.
 
Alimleta na kumuamini Samia wenu pia tena mara mbili angalau hilo mumshukuru labda pamoja na u snitch wote, …
 
UKITAKA KUJUA MAPENZI YA KWELI WE ON A MAHALI JAKAYA KIKWETE KATOKELEZEA WATU WANAVYOFURAHI ILE YA ROHONI, AMA WE ANGALIA MAMA AKITOKEA MAHALI, YANI TUNAMOENDA ILE YA ROHONI.
Kuna pilau zitaandaliwa na watu watalewa vibaya mitaani mkuu

Kwa nini umekusudia kusema kinyume chake?
 
Na mtaendelea kuwa maskini kama mtaendekeza kubweteka fanyeni kazi pambaneni acheni kubweteka bweteka kulialia hakutawasaidia yeye alishamaliza muda wake duniani nanyi pambeni ili mmalize matatizo yenu.
 
Hivi nyie Watanzania mmelogwa,mtu anashindwa kuajili watu,kupandisha mishahara,watu wamefunga biashara,wamefilisiwa,halafu unaleta propaganda za kitoto hapa,kwa hiyo alitaka watu wote tuwe wamachinga?
 
Kunyima vijana ajira baada ya vyuo kwa madai kuwa watumishi walitosha wakati alijua fika ulikuwa uongo.
 
Hivi nyie Watanzania mmelogwa,mtu anashindwa kuajili watu,kupandisha mishahara,watu wamefunga biashara,wamefilisiwa,halafu unaleta propaganda za kitoto hapa,kwa hiyo alitaka watu wote tuwe wamachinga?
Mkuu,

Ukiweza kulinganisha/kutofautisha kati ya mshahara wa sasa na ule wa kipindi cha mwendazake ni upi ambao mfanya kazi ulimnufaisha licha kwamba kipindi cha mwendazake haukuongezwa ni mshara upi wenye kutoa dira ya kesho

Kwa JPM mshara kidogo lakini bidhaa chini Karibu mara 50+ ukilinganisha na sasa!

Kwa sasa mshahara umepanda kidogo lakini chote kilichopandishwa kinarudishwa serikalini kwa njia ya tozo za miamala n.k, pia bidhaa bei juu saaana!

Kipi bora?

Kuhusu kufilisiwa, Kina nani walifilisiwa?

Na kwa nini wafilisiwe? Ninachojua, wote wanaodai kufilisiwa walikuwa wakwepa kodi, mzee Bakhelesa aliendelea kupeta tu kwa sababu pia hajawahi kukwepa kodi ya serikali na hata sasa kampuni yake hutosikia rushwa kule! Made na Allah ni sawa na maji na samaki,

Wafanyabiashara waache wizi, wakiendelea, bado kunaserikali itakuja ambayo itadai kila limbikizo la kodi na ndio tena mtadai watu wanafilisiwa!
 
Yaan ,muda unaopoteza kwa kuandika uchafu na upuuzi Kama huu ,ungeutumua kufanya mambo ya maana.Utajuta siku moja kupoteza muda.Kwani JPM mwingine anakuja si muda mrefu.Wapumbavu Kama nyie hamuwezi kuzuia Matumain ya Watanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…