M O N S T E R
JF-Expert Member
- Sep 26, 2022
- 2,818
- 8,465
Sukuma gang sonona inawaathiri afya ya akili, you were enjoying when people were being bullied, tortured, kidnapped ila sasa watu kuwa wanaishi kwa furaha inawapa hasira.Nshatoka kwenye ujinga huo tafta watoto wenzio.
Kwa nin unakunywa pombe za bei rahisi namna hiyo?Nitakuwa kwa Morombo nikichoma nyama ya mbuzi na kushushia na serengeti lite
Nchi inaongozwa na CCM Kwa miaka 62 sasa lawama kwa Chadema wewe zinakutosha kweli? Huyo Magufuli wenu alipotumia mabilioni ya kodi zetu kuvuruga uchaguzi mkuu uliopita ili kuindoa Chadema kwenye mfumo wa utawala na uongozi wa nchi ulitegemea Chadema wasemee wapi shida za wananchi? Taahira mkubwa wewe na Sukuma Gang wenzako.Chadema amna Sera mpya nchi Ina shida kibao mnashindwa kuwatetea wanyonge kila siku mnamsema magufuli
Japo nipo kwenye kwaresma, nitasherekea kwa kumshukuru mwenyezi Mungu kwa kutuondolea aibu ile mapemaKesho dunia inaazimisha miaka miwili ya kifo cha aliyekuwa Rais wa awamu ya 5 nchini Tanzania.
Nimewasili Chato, Mkoani Geita. Kwenda kuweka maua kwenye kaburi la Hayati Magufuli kama njia mojawapo ya kumuenzi yale yote mazuri aliyofanya akiwa hai.
Je, wewe umepanga kufanya jambo gani ili kuazimisha miaka miwili ya kifo cha Magufuli?
Kesho dunia inaazimisha miaka miwili ya kifo cha aliyekuwa Rais wa awamu ya 5 nchini Tanzania.
Nimewasili Chato, Mkoani Geita. Kwenda kuweka maua kwenye kaburi la Hayati Magufuli kama njia mojawapo ya kumuenzi yale yote mazuri aliyofanya akiwa hai.
Je, wewe umepanga kufanya jambo gani ili kuazimisha miaka miwili ya kifo cha Magufuli?
Viatu vya akaunti za China, hakuna atakaevivaa hata kwa asilima 0.Na GENTAMYCINE ninavyojua Maendeleo ya sasa ambayo Wengine ( Wademaji ) wanajivunia nayo huku Wakikudhalilisha na Kukupenda pamoja na Kukusifia Kinafiki ni yako ( yalitokana na Wewe ulipokuwa ) na hawa Wengine ( Wademaji ) Kazi yao tutaanza Kuipima kuanzia mwaka 2025 kwa Kudra zake Mwenyezi Mungu ( Allah )
Usiku wa kiza siku kama ya LeoNa GENTAMYCINE ninavyojua Maendeleo ya sasa ambayo Wengine ( Wademaji ) wanajivunia nayo huku Wakikudhalilisha na Kukupenda pamoja na Kukusifia Kinafiki ni yako ( yalitokana na Wewe ulipokuwa ) na hawa Wengine ( Wademaji ) Kazi yao tutaanza Kuipima kuanzia mwaka 2025 kwa Kudra zake Mwenyezi Mungu ( Allah )
Mimi ni nani wewe ni nani.....kama alikunufaisha we tulia usitake tufanane mtazamo mkuu,afu mwisho wa siku hakuna atakaebakia Dunia kwann nijiminye kutoa Cha moyoni mkuuSijategemea maneno kama hayo utaongea mtu kama wewe
Tungeni uongo mwingine huu tushausikia.Viatu vya akaunti za China, hakuna atakaevivaa hata kwa asilima 0.