Je, utamkumbuka Hayati Magufuli kwa mambo gani?
Chadema amna Sera mpya nchi Ina shida kibao mnashindwa kuwatetea wanyonge kila siku mnamsema magufuli
Nchi inaongozwa na CCM Kwa miaka 62 sasa lawama kwa Chadema wewe zinakutosha kweli? Huyo Magufuli wenu alipotumia mabilioni ya kodi zetu kuvuruga uchaguzi mkuu uliopita ili kuindoa Chadema kwenye mfumo wa utawala na uongozi wa nchi ulitegemea Chadema wasemee wapi shida za wananchi? Taahira mkubwa wewe na Sukuma Gang wenzako.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Kesho dunia inaazimisha miaka miwili ya kifo cha aliyekuwa Rais wa awamu ya 5 nchini Tanzania.

Nimewasili Chato, Mkoani Geita. Kwenda kuweka maua kwenye kaburi la Hayati Magufuli kama njia mojawapo ya kumuenzi yale yote mazuri aliyofanya akiwa hai.

Je, wewe umepanga kufanya jambo gani ili kuazimisha miaka miwili ya kifo cha Magufuli?
Japo nipo kwenye kwaresma, nitasherekea kwa kumshukuru mwenyezi Mungu kwa kutuondolea aibu ile mapema
 
Kesho dunia inaazimisha miaka miwili ya kifo cha aliyekuwa Rais wa awamu ya 5 nchini Tanzania.

Nimewasili Chato, Mkoani Geita. Kwenda kuweka maua kwenye kaburi la Hayati Magufuli kama njia mojawapo ya kumuenzi yale yote mazuri aliyofanya akiwa hai.

Je, wewe umepanga kufanya jambo gani ili kuazimisha miaka miwili ya kifo cha Magufuli?

Party kubwa hapa Moshi Bar-Ukonga kumshukuru Allah kwa kutuondolea huyu katili.
Hata mwaka jana nilifanya party,Magu hakua mtz,hamna mtz ni katili kiasi hiki
 
Maisha yataendelea kama kawaida. Tunatakiwa kufanyaje kwani
 
Na GENTAMYCINE ninavyojua Maendeleo ya sasa ambayo Wengine ( Wademaji ) wanajivunia nayo huku Wakikudhalilisha na Kukupenda pamoja na Kukusifia Kinafiki ni yako ( yalitokana na Wewe ulipokuwa ) na hawa Wengine ( Wademaji ) Kazi yao tutaanza Kuipima kuanzia mwaka 2025 kwa Kudra zake Mwenyezi Mungu ( Allah )
 
Yuko anafanya maendeleo mengne huko ya kuongoza malaika waliofanana na wachina, zumarid akienda tena mbingun atakuta maendeleo zaida ya yale magorofa ya dhahabu xaxa atakuta ya tanzanite kabsa chini ya kiongozi wa malaika mwamba shujaa mwenyew JPM, mkuu kama vip tujiue tu tukafaid uongozi wake huko mbinguni.
 
Na GENTAMYCINE ninavyojua Maendeleo ya sasa ambayo Wengine ( Wademaji ) wanajivunia nayo huku Wakikudhalilisha na Kukupenda pamoja na Kukusifia Kinafiki ni yako ( yalitokana na Wewe ulipokuwa ) na hawa Wengine ( Wademaji ) Kazi yao tutaanza Kuipima kuanzia mwaka 2025 kwa Kudra zake Mwenyezi Mungu ( Allah )
Viatu vya akaunti za China, hakuna atakaevivaa hata kwa asilima 0.
 
Na GENTAMYCINE ninavyojua Maendeleo ya sasa ambayo Wengine ( Wademaji ) wanajivunia nayo huku Wakikudhalilisha na Kukupenda pamoja na Kukusifia Kinafiki ni yako ( yalitokana na Wewe ulipokuwa ) na hawa Wengine ( Wademaji ) Kazi yao tutaanza Kuipima kuanzia mwaka 2025 kwa Kudra zake Mwenyezi Mungu ( Allah )
Usiku wa kiza siku kama ya Leo
 
Back
Top Bottom