Je, utamkumbuka Hayati Magufuli kwa mambo gani?
Jana 9t mida ya usiku nimepita pale daraja jipya la wami,yale mataa yanavyowaka usiku utapenda...aisee yule mzee hakuwa mbinafsi wala mchoyo kwa kuijali na kuipendezesha nchi na wananchi wake.

Rip John
Wachache wanajua hayo.
 
Kesho dunia inaazimisha miaka miwili ya kifo cha aliyekuwa Rais wa awamu ya 5 nchini Tanzania.

Nimewasili Chato, Mkoani Geita. Kwenda kuweka maua kwenye kaburi la Hayati Magufuli kama njia mojawapo ya kumuenzi yale yote mazuri aliyofanya akiwa hai.

Je, wewe umepanga kufanya jambo gani ili kuazimisha miaka miwili ya kifo cha Magufuli?
Kunywa wine 🍷 nyingi sana.
 
Nichambulie
Wewe ni sawa na yule mtu aliyeenda kwa mtafsiri ndoto.

Akamwambia nitafsirie ndoto yangu.

Sasa yule mtafsiri ndoto akasema sawa, niambie ndoto yako umeota nini?

Yule anayetaka ndoto yake itafsiriwe akagoma kusema kaota nini.

Akimtaka mtasiri ndoto kwanza amwambie ndoto gani kaota, kisha amtafsirie.

Mkuu mimi nimekuuliza unachoshangaa nini kitaje tukichambue kwa kina.

Na wewe unanijibu "Nichambulie"?

Umeelewa swali langu unanibeza tu au mgumu wa kuelewa hujaelewa swali langu?
 
Back
Top Bottom