MKANDAHARI
JF-Expert Member
- Apr 7, 2011
- 5,727
- 6,615
Chadema ndio iko madarakani? Kesho ni siku ya kunywa biaChadema amna Sera mpya nchi Ina shida kibao mnashindwa kuwatetea wanyonge kila siku mnamsema magufuli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chadema ndio iko madarakani? Kesho ni siku ya kunywa biaChadema amna Sera mpya nchi Ina shida kibao mnashindwa kuwatetea wanyonge kila siku mnamsema magufuli
Afu atafufuka?Ninatumaini mwaka ujao nitafika katika kaburi la hayati JPM na kuwasilisha salamu zangu
Wewe unajua kipi?Hakuna unachojua
Unaonekana ni maskini tu[emoji23][emoji23]Happy day again
Tumekuwa huru kwa mara nyingine
Sema usinichoshe.Usituchoshe na kichaa wako jpm
Sema usinichoshe.
Wachache wanajua hayo.Jana 9t mida ya usiku nimepita pale daraja jipya la wami,yale mataa yanavyowaka usiku utapenda...aisee yule mzee hakuwa mbinafsi wala mchoyo kwa kuijali na kuipendezesha nchi na wananchi wake.
Rip John
Kunywa wine 🍷 nyingi sana.Kesho dunia inaazimisha miaka miwili ya kifo cha aliyekuwa Rais wa awamu ya 5 nchini Tanzania.
Nimewasili Chato, Mkoani Geita. Kwenda kuweka maua kwenye kaburi la Hayati Magufuli kama njia mojawapo ya kumuenzi yale yote mazuri aliyofanya akiwa hai.
Je, wewe umepanga kufanya jambo gani ili kuazimisha miaka miwili ya kifo cha Magufuli?
Hata wewe kiranga?Umenikumbusha naenda kununua Champagne leo, kesho nasherehekea nchi kuondokewa na jinamizi kubwa sana.
Unachoshangaa nini hapo tukichambue kwa kina?Hata wewe kiranga?
NichambulieUnachoshangaa nini hapo tukichambue kwa kina?
Wewe ni sawa na yule mtu aliyeenda kwa mtafsiri ndoto.Nichambulie
Mie naomba nije nipate denda TU,furaha yangu.Ni bia tu na nyama....maombolezo
WANYONGE ndiyo upuuzi gani, you're so brainwashed yaani mmefanywa mazuzu mkauona unyonge ni sifa.Chadema amna Sera mpya nchi Ina shida kibao mnashindwa kuwatetea wanyonge kila siku mnamsema magufuli
Mie simoo💃Wafupi na washamba mno