Your browser is not able to display this video.
 
Acheni dharau. Mkapa hakufanya zaidi ya Magufuli? Nyie ndiyo mnasababusha huyo Magufuli atukanwe.
Wewe ni taahira tu kama mataahira wengine. Kama wewe unaona mkapa alifanya makubwa si useme, kwani umekatazwa?

Unaandika tu kama umekalia mashine.
 
Kumshukuru Mungu Kwa kutuondolea balaa
 
Viatu vya akaunti za China, hakuna atakaevivaa hata kwa asilima 0.
Kagame ndiye alimuweza huyu jamaa, eti akamnunia 😁😁😁 Kagame alichukizwa na kitendo cha kuomba amuhifadhie kifurushi chake kwa hasira akakipiga mazima.
*Seychelles
*Canada
*kwenye majaba, na strong safe ndani mwake!
 
Walianza kama marafiki wakubwa na kupeana mikakati ya kiungozi, ika baadae ilipigwa U- Turn kabambe na mahusiano kuaribika. Kumbe P alishafanya yakeπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Viatu vyenyewe vibovu, vibayaa. Wasio na akili ndio walimuelewa kichaa mwenzao. Sisi tunaendelea kushukuru utukufu mkuu.
 
Kuendelea kumuombea kwa MUNGU! R.I.P CHUMA JPM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…