FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Manji nasikia yupo na hajambo.Tungeni uongo mwingine huu tushausikia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Manji nasikia yupo na hajambo.Tungeni uongo mwingine huu tushausikia.
Dunia gani hiyo INAYOAZIMISHA hiyo kifo? Aisee?! Kumbe wendawazimu wapo wengi nchi hii?!
Na GENTAMYCINE ninavyojua Maendeleo ya sasa ambayo Wengine ( Wademaji ) wanajivunia nayo huku Wakikudhalilisha na Kukupenda pamoja na Kukusifia Kinafiki ni yako ( yalitokana na Wewe ulipokuwa ) na hawa Wengine ( Wademaji ) Kazi yao tutaanza Kuipima kuanzia mwaka 2025 kwa Kudra zake Mwenyezi Mungu ( Allah )
Acheni dharau. Mkapa hakufanya zaidi ya Magufuli? Nyie ndiyo mnasababusha huyo Magufuli atukanwe.Magufuli ndio rais baada ya mwalimu Nyerere alieifanyia hii nchi mambo makubwa kuliko kiongozi yoyote.
Kwani matatizo ya Watanzania yamekwisha ? nyie timu mafisadi ndio mpo huru.Happy day again
Tumekuwa huru kwa mara nyingine
Wewe ni taahira tu kama mataahira wengine. Kama wewe unaona mkapa alifanya makubwa si useme, kwani umekatazwa?Acheni dharau. Mkapa hakufanya zaidi ya Magufuli? Nyie ndiyo mnasababusha huyo Magufuli atukanwe.
Kumshukuru Mungu Kwa kutuondolea balaaKesho dunia inaazimisha miaka miwili ya kifo cha aliyekuwa Rais wa awamu ya 5 nchini Tanzania.
Nimewasili Chato, Mkoani Geita. Kwenda kuweka maua kwenye kaburi la Hayati Magufuli kama njia mojawapo ya kumuenzi yale yote mazuri aliyofanya akiwa hai.
Je, wewe umepanga kufanya jambo gani ili kuazimisha miaka miwili ya kifo cha Magufuli?
Bora huyo pongo wenu alikufaWewe ni taahira tu kama mataahira wengine. Kama wewe unaona mkapa alifanya makubwa si useme, kwani umekatazwa?
Unaandika tu kama umekalia mashine.
Kagame ndiye alimuweza huyu jamaa, eti akamnunia 😁😁😁 Kagame alichukizwa na kitendo cha kuomba amuhifadhie kifurushi chake kwa hasira akakipiga mazima.Viatu vya akaunti za China, hakuna atakaevivaa hata kwa asilima 0.
Waluguru bwana...kwahiyo mataa wewe hoii(jokes aside)
Walianza kama marafiki wakubwa na kupeana mikakati ya kiungozi, ika baadae ilipigwa U- Turn kabambe na mahusiano kuaribika. Kumbe P alishafanya yake😂😂Kagame ndiye alimuweza huyu jamaa, eti akamnunia 😁😁😁 Kagame alichukizwa na kitendo cha kuomba amuhifadhie kifurushi chake kwa hasira akakipiga mazima.
*Seychelles
*Canada
*kwenye majaba, na strong safe ndani mwake!
Viatu vyenyewe vibovu, vibayaa. Wasio na akili ndio walimuelewa kichaa mwenzao. Sisi tunaendelea kushukuru utukufu mkuu.Na GENTAMYCINE ninavyojua Maendeleo ya sasa ambayo Wengine ( Wademaji ) wanajivunia nayo huku Wakikudhalilisha na Kukupenda pamoja na Kukusifia Kinafiki ni yako ( yalitokana na Wewe ulipokuwa ) na hawa Wengine ( Wademaji ) Kazi yao tutaanza Kuipima kuanzia mwaka 2025 kwa Kudra zake Mwenyezi Mungu ( Allah )
Kuendelea kumuombea kwa MUNGU! R.I.P CHUMA JPMKesho dunia inaazimisha miaka miwili ya kifo cha aliyekuwa Rais wa awamu ya 5 nchini Tanzania.
Nimewasili Chato, Mkoani Geita. Kwenda kuweka maua kwenye kaburi la Hayati Magufuli kama njia mojawapo ya kumuenzi yale yote mazuri aliyofanya akiwa hai.
Je, wewe umepanga kufanya jambo gani ili kuazimisha miaka miwili ya kifo cha Magufuli?