Je, utamkumbuka Hayati Magufuli kwa mambo gani?
Na GENTAMYCINE ninavyojua Maendeleo ya sasa ambayo Wengine ( Wademaji ) wanajivunia nayo huku Wakikudhalilisha na Kukupenda pamoja na Kukusifia Kinafiki ni yako ( yalitokana na Wewe ulipokuwa ) na hawa Wengine ( Wademaji ) Kazi yao tutaanza Kuipima kuanzia mwaka 2025 kwa Kudra zake Mwenyezi Mungu ( Allah )
 
Acheni dharau. Mkapa hakufanya zaidi ya Magufuli? Nyie ndiyo mnasababusha huyo Magufuli atukanwe.
Wewe ni taahira tu kama mataahira wengine. Kama wewe unaona mkapa alifanya makubwa si useme, kwani umekatazwa?

Unaandika tu kama umekalia mashine.
 
Kesho dunia inaazimisha miaka miwili ya kifo cha aliyekuwa Rais wa awamu ya 5 nchini Tanzania.

Nimewasili Chato, Mkoani Geita. Kwenda kuweka maua kwenye kaburi la Hayati Magufuli kama njia mojawapo ya kumuenzi yale yote mazuri aliyofanya akiwa hai.

Je, wewe umepanga kufanya jambo gani ili kuazimisha miaka miwili ya kifo cha Magufuli?
Kumshukuru Mungu Kwa kutuondolea balaa
 
Viatu vya akaunti za China, hakuna atakaevivaa hata kwa asilima 0.
Kagame ndiye alimuweza huyu jamaa, eti akamnunia 😁😁😁 Kagame alichukizwa na kitendo cha kuomba amuhifadhie kifurushi chake kwa hasira akakipiga mazima.
*Seychelles
*Canada
*kwenye majaba, na strong safe ndani mwake!
 
Walianza kama marafiki wakubwa na kupeana mikakati ya kiungozi, ika baadae ilipigwa U- Turn kabambe na mahusiano kuaribika. Kumbe P alishafanya yake😂😂
 
Na GENTAMYCINE ninavyojua Maendeleo ya sasa ambayo Wengine ( Wademaji ) wanajivunia nayo huku Wakikudhalilisha na Kukupenda pamoja na Kukusifia Kinafiki ni yako ( yalitokana na Wewe ulipokuwa ) na hawa Wengine ( Wademaji ) Kazi yao tutaanza Kuipima kuanzia mwaka 2025 kwa Kudra zake Mwenyezi Mungu ( Allah )
Viatu vyenyewe vibovu, vibayaa. Wasio na akili ndio walimuelewa kichaa mwenzao. Sisi tunaendelea kushukuru utukufu mkuu.
 
Kesho dunia inaazimisha miaka miwili ya kifo cha aliyekuwa Rais wa awamu ya 5 nchini Tanzania.

Nimewasili Chato, Mkoani Geita. Kwenda kuweka maua kwenye kaburi la Hayati Magufuli kama njia mojawapo ya kumuenzi yale yote mazuri aliyofanya akiwa hai.

Je, wewe umepanga kufanya jambo gani ili kuazimisha miaka miwili ya kifo cha Magufuli?
Kuendelea kumuombea kwa MUNGU! R.I.P CHUMA JPM
 
Back
Top Bottom