Hakika na kweli kuwa kuwa muda kama huru nchi ilikuwa ishapata uhuru wake tenaSijategemea maneno kama hayo utaongea mtu kama wewe
Timu mafisadi vs Timu manyongeKwani matatizo ya Watanzania yamekwisha ? nyie timu mafisadi ndio mpo huru.
Asiposemwa mabaya yake nchi inaweza kuja kupata kiongozi kama huyo tenaUstaarabu ni uungwana na kifo ni mipango ya Mungu sio dhamana regardless uongozi wake unauchuliaje lakini heshima ni kitu muhimu sana hata uongee hayo maneno hayawezi kumfufua Marehemu
Kwani umeshikwa makalio hadi usijibu wewe, jibu hujakatazwaBadala kutoa jibu kulingana na swali unaongea mambo ya kufikirika
Kwani Mkapa hajafa? Nani umeona anafurahia kifo chake? Hapo ndipo utajua kwanini Watanzania wanafurahia kifo cha yule mungu wenuMawazo ya kichawi unafurahia kifo Cha mwezako
Nilikua sijajua kuwa kakidole tu kanaweza kukusababishia upaniki na kuandika hivi hadi kujibu ambayo haujaulizwaKwani umeshikwa makalio hadi usijibu wewe, jibu hujakatazwa
Wewe shoga achana na waume za watu, sitafuni mashoga, tafta mtu wa kukutafuna.Nilikua sijajua kuwa kakidole tu kanaweza kukusababishia upaniki na kuandika hivi hadi kujibu ambayo haujaulizwa
Mtoto unaonekana una sauti nzuri na vidole vizuri weye, hebu ona kwanza mwandiko.Wewe shoga achana na waume za watu, sitafuni mashoga, tafta mtu wa kukutafuna.
Unaonyesha kabisa tabia zako za kishoga. Mashoga ndio mnakula soseji. Mimi sitafuni mashoga, tafta mwanaume mwingine.Mtoto unaonekana una sauti nzuri na vidole vizuri weye, hebu ona kwanza mwandiko.
Sema wataka ule nini weye, nikununulie soseji na ndezi? Sema usiogope
Kimjaacho Mtu Moyoni Ndicho Kimtokacho Mdomoni.Angalia hili punga nalo sasa Kwani Magu ndo alikwambia ujitest na chupa?
[emoji3][emoji3][emoji3]Mimi leo usikuView attachment 2554057
Ujinga mzigo, sema sikulaumu maana ndo umri wako ulivyo, akina Sylvester Rwegasira unawajua? akina Amina Chifupa unawajua? akina Deo Filikunjombe unawajua? niendelee nisiendelee? Saa8 ndo kitu gani kwa hao?
Halafu kiwe na shahada ya heshima itakayoitwa Ben Rabiu wa Saanane. Au hata Ben Saanane Hall?
Umekosea inasaidia nini hiyoKesho dunia inaazimisha miaka miwili ya kifo cha aliyekuwa Rais wa awamu ya 5 nchini Tanzania.
Nimewasili Chato, Mkoani Geita. Kwenda kuweka maua kwenye kaburi la Hayati Magufuli kama njia mojawapo ya kumuenzi yale yote mazuri aliyofanya akiwa hai.
Je, wewe umepanga kufanya jambo gani ili kuazimisha miaka miwili ya kifo cha Magufuli?
Aah, weyee, hebu acha kurukaruka wakati nimekupaka, em tulia hapa mapajani. Wallah mabata ushungu mimi kwa ajili yake...kula Soseji basi ila angalia isikukwamee, kula taratibuu basii, kitakachotoka kimeze tuuUnaonyesha kabisa tabia zako za kishoga. Mashoga ndio mnakula soseji. Mimi sitafuni mashoga, tafta mwanaume mwingine.
Nimeenda kutoa misaada kwa masikini wasiojiweza kama jinsi Magufuli alivyowajali wanyonge.Pia nitaenda kusalimia wagonjwa baadaye
View attachment 1734652
Picha: Hayati Rais Magufuli enzi uhai wake
This is a special thread and a tribute to the late J.P.M.
Najua tupo katika kipindi cha masikitiko kama taifa, Jemedari wetu amefariki dunia, kama lisemavyo neno la Mungu katika kitabu cha biblia kuwa mfalme hawezi kuokolewa kwa na jeshi lake kubwa bali ni Bwana hutuponya na mauti (Zaburi 33:16), yaliyoandikwa yametimia Mungu amlaze mahala pema peponi.
Hakika tutammiss, kama ule usemi usemao umuhimu wa mtu huonekana zaidi asipokuwepo.
Yafuatayo ni mambo aliyonikosha J. P. M (R. I. P).
1. Nidhamu kwenye taasisi za serikali, kuanzia matumizi, utendaji wa kazi na utoaji wa huduma.
2. Msimamo bila kujali nchi nyingine zimeamuaje, kimsingi maamuzi mengi yalifanywa kuzingatia maslahi ya nchi sio mkumbo ( i.e chanjo ya corona).
3. Super-Mega projects zenye maslahi ya muda mrefu, S.G.R, Nyerere, Mwendokasi n.k.
4. Kuwanyoosha majirani zetu walizoea kutuibia na kutuchezea michezo ya ajabu ajabu.
5. Kuleta siasa za kuambiana ukweli na sio za kubembelazana hovyo.
6. Kukomesha ujambazi na matukio ya kihalifu majumbani.
7.
Itaendelea...
PIA SOMA>> TANZIA - Rais John Pombe Magufuli afariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar
Kuendelea kusherehekea kufa kwake ili taifa lipone. Hii ni muhimu kwa sababu Mungu aliipenda zaidi Tanzania akaamua kumtoa muuaji na mtesaji ili watanzania waponeKesho dunia inaazimisha miaka miwili ya kifo cha aliyekuwa Rais wa awamu ya 5 nchini Tanzania.
Nimewasili Chato, Mkoani Geita. Kwenda kuweka maua kwenye kaburi la Hayati Magufuli kama njia mojawapo ya kumuenzi yale yote mazuri aliyofanya akiwa hai.
Je, wewe umepanga kufanya jambo gani ili kuazimisha miaka miwili ya kifo cha Magufuli?
1.Chato International Airport
2.Chato National Park
3.Trafic light Chato
4.3 star hotel Chato (TANAPA)
5.Bohari ya kanda madawa Chato
6.Hospital ya rufaa Chato
7.Stadium (proposa)
8.CRDB Chato
9. Mahakama ya hadhi ya kanda
10. VETA hadhi ya kanda
11. Office za TANESCO hadhi ya juu
12. Office za Zimamoto
13. Mradi mkubwa wa Viwanja NHC
14. Shule ya kimataifa