Je, utamkumbuka Hayati Magufuli kwa mambo gani?
Ustaarabu ni uungwana na kifo ni mipango ya Mungu sio dhamana regardless uongozi wake unauchuliaje lakini heshima ni kitu muhimu sana hata uongee hayo maneno hayawezi kumfufua Marehemu
Asiposemwa mabaya yake nchi inaweza kuja kupata kiongozi kama huyo tena
 
Wewe shoga achana na waume za watu, sitafuni mashoga, tafta mtu wa kukutafuna.
Mtoto unaonekana una sauti nzuri na vidole vizuri weye, hebu ona kwanza mwandiko.
Sema wataka ule nini weye, nikununulie soseji na ndezi? Sema usiogope
 
Mtoto unaonekana una sauti nzuri na vidole vizuri weye, hebu ona kwanza mwandiko.
Sema wataka ule nini weye, nikununulie soseji na ndezi? Sema usiogope
Unaonyesha kabisa tabia zako za kishoga. Mashoga ndio mnakula soseji. Mimi sitafuni mashoga, tafta mwanaume mwingine.
 
Shujaa wa Afrika, R. I. P Jpm. Mbele yetu nyuma yako ..wademaji wanatembelea nyota yako kila mradi uliouacha leo wanaita ni wa kwao huku wakilipaka kinyes8 jina lako.

Tz inakulilia na wananchi wanakukumbuka kila uchao
 

Halafu kiwe na shahada ya heshima itakayoitwa Ben Rabiu wa Saanane. Au hata Ben Saanane Hall?
Ujinga mzigo, sema sikulaumu maana ndo umri wako ulivyo, akina Sylvester Rwegasira unawajua? akina Amina Chifupa unawajua? akina Deo Filikunjombe unawajua? niendelee nisiendelee? Saa8 ndo kitu gani kwa hao?
 
Kesho dunia inaazimisha miaka miwili ya kifo cha aliyekuwa Rais wa awamu ya 5 nchini Tanzania.

Nimewasili Chato, Mkoani Geita. Kwenda kuweka maua kwenye kaburi la Hayati Magufuli kama njia mojawapo ya kumuenzi yale yote mazuri aliyofanya akiwa hai.

Je, wewe umepanga kufanya jambo gani ili kuazimisha miaka miwili ya kifo cha Magufuli?
Umekosea inasaidia nini hiyo
 
Unaonyesha kabisa tabia zako za kishoga. Mashoga ndio mnakula soseji. Mimi sitafuni mashoga, tafta mwanaume mwingine.
Aah, weyee, hebu acha kurukaruka wakati nimekupaka, em tulia hapa mapajani. Wallah mabata ushungu mimi kwa ajili yake...kula Soseji basi ila angalia isikukwamee, kula taratibuu basii, kitakachotoka kimeze tuu
 
Masikini wanahitaji kazi waondokane na umaskini wao, sio mia mbili yako ya kununua mihogo.
Nimeenda kutoa misaada kwa masikini wasiojiweza kama jinsi Magufuli alivyowajali wanyonge.Pia nitaenda kusalimia wagonjwa baadaye
 
View attachment 1734652
Picha: Hayati Rais Magufuli enzi uhai wake

This is a special thread and a tribute to the late J.P.M.

Najua tupo katika kipindi cha masikitiko kama taifa, Jemedari wetu amefariki dunia, kama lisemavyo neno la Mungu katika kitabu cha biblia kuwa mfalme hawezi kuokolewa kwa na jeshi lake kubwa bali ni Bwana hutuponya na mauti (Zaburi 33:16), yaliyoandikwa yametimia Mungu amlaze mahala pema peponi.

Hakika tutammiss, kama ule usemi usemao umuhimu wa mtu huonekana zaidi asipokuwepo.

Yafuatayo ni mambo aliyonikosha J. P. M (R. I. P).

1. Nidhamu kwenye taasisi za serikali, kuanzia matumizi, utendaji wa kazi na utoaji wa huduma.

2. Msimamo bila kujali nchi nyingine zimeamuaje, kimsingi maamuzi mengi yalifanywa kuzingatia maslahi ya nchi sio mkumbo ( i.e chanjo ya corona).

3. Super-Mega projects zenye maslahi ya muda mrefu, S.G.R, Nyerere, Mwendokasi n.k.

4. Kuwanyoosha majirani zetu walizoea kutuibia na kutuchezea michezo ya ajabu ajabu.

5. Kuleta siasa za kuambiana ukweli na sio za kubembelazana hovyo.

6. Kukomesha ujambazi na matukio ya kihalifu majumbani.

7.

Itaendelea...

PIA SOMA>> TANZIA - Rais John Pombe Magufuli afariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar

miaka mingi Barabara ya ubungo kimara foleni ilikua balaaaa! kila jioni msururu usio isha !! saizi njia nne….. hawa mafisadi walikua hawaoni hilo
 
Kesho dunia inaazimisha miaka miwili ya kifo cha aliyekuwa Rais wa awamu ya 5 nchini Tanzania.

Nimewasili Chato, Mkoani Geita. Kwenda kuweka maua kwenye kaburi la Hayati Magufuli kama njia mojawapo ya kumuenzi yale yote mazuri aliyofanya akiwa hai.

Je, wewe umepanga kufanya jambo gani ili kuazimisha miaka miwili ya kifo cha Magufuli?
Kuendelea kusherehekea kufa kwake ili taifa lipone. Hii ni muhimu kwa sababu Mungu aliipenda zaidi Tanzania akaamua kumtoa muuaji na mtesaji ili watanzania wapone
 
1.Chato International Airport
2.Chato National Park
3.Trafic light Chato
4.3 star hotel Chato (TANAPA)
5.Bohari ya kanda madawa Chato
6.Hospital ya rufaa Chato
7.Stadium (proposa)
8.CRDB Chato
9. Mahakama ya hadhi ya kanda
10. VETA hadhi ya kanda
11. Office za TANESCO hadhi ya juu
12. Office za Zimamoto
13. Mradi mkubwa wa Viwanja NHC
14. Shule ya kimataifa

ila umasikini mbaya ,kweli mtu wa kulilia trafic light na crdb kweli???…. kuna shida kubwa sana tz
 
Back
Top Bottom