Intelligence Justice
JF-Expert Member
- Oct 23, 2020
- 3,443
- 4,006
Ni wazo zuri lakini hakuna mtu ndani ya utwawala ulipo atafanya hilo maana wamechagua kupambana naye akiwa mfu!!!Katika kumuenzi Baba Dr Mheshimiwa Comrade John Pombe Magufuli PhD inafaa paanzishwe Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia. Ili legacy ibaki Kwa vizazi na vizazi
Wanyonge mpooo!Unaonekana ni maskini tu[emoji23][emoji23]
Ama kwa hakika tulipoteza kiongozi mwenye maono kwenye kizazi legelege!View attachment 1734652
Picha: Hayati Rais Magufuli enzi uhai wake
This is a special thread and a tribute to the late J.P.M.
Najua tupo katika kipindi cha masikitiko kama taifa, Jemedari wetu amefariki dunia, kama lisemavyo neno la Mungu katika kitabu cha biblia kuwa mfalme hawezi kuokolewa kwa na jeshi lake kubwa bali ni Bwana hutuponya na mauti (Zaburi 33:16), yaliyoandikwa yametimia Mungu amlaze mahala pema peponi.
Hakika tutammiss, kama ule usemi usemao umuhimu wa mtu huonekana zaidi asipokuwepo.
Yafuatayo ni mambo aliyonikosha J. P. M (R. I. P).
1. Nidhamu kwenye taasisi za serikali, kuanzia matumizi, utendaji wa kazi na utoaji wa huduma.
2. Msimamo bila kujali nchi nyingine zimeamuaje, kimsingi maamuzi mengi yalifanywa kuzingatia maslahi ya nchi sio mkumbo ( i.e chanjo ya corona).
3. Super-Mega projects zenye maslahi ya muda mrefu, S.G.R, Nyerere, Mwendokasi n.k.
4. Kuwanyoosha majirani zetu walizoea kutuibia na kutuchezea michezo ya ajabu ajabu.
5. Kuleta siasa za kuambiana ukweli na sio za kubembelazana hovyo.
6. Kukomesha ujambazi na matukio ya kihalifu majumbani.
7.
Itaendelea...
PIA SOMA>> TANZIA - Rais John Pombe Magufuli afariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar
Sukuma gang mmebakia kuwayawayaAma kwa hakika tulipoteza kiongozi mwenye maono kwenye kizazi legelege!
Mchawi sio lazima aruke na ungo usiku!Sukuma gang mmebakia kuwayawaya
Jiwe linapogeuka mchangaMchawi sio lazima aruke na ungo usiku!
Kijana ondoka kwa dada yako ukajitegemee!Jiwe linapogeuka mchanga
Unalinganisha yule aliyekufa kwenye ajali ya helicopter na aliyepotezwa mazima hata kucha yake isionekane?Ujinga mzigo, sema sikulaumu maana ndo umri wako ulivyo, akina Sylvester Rwegasira unawajua? akina Amina Chifupa unawajua? akina Deo Filikunjombe unawajua? niendelee nisiendelee? Saa8 ndo kitu gani kwa hao?
Wewe ushaondoka kutoka kwa shemeji yako diwani wa ccm pale burigi?Kijana ondoka kwa dada yako ukajitegemee!
Unaachaje kwa mfano!!Naunga mkono hoja
P
Shemeji analalamika kijana mabeki tatu unawapa sana uja uzito!Wewe ushaondoka kutoka kwa shemeji yako diwani wa ccm pale burigi?
Ndiyo udume huoShemeji analalamika kijana mabeki tatu unawapa sana uja uzito!
Chadema mmeungana na mafisadi papa waliopo Ccm.Sukuma gang mmebakia kuwayawaya
Na aliyesababisha haya yote si #sukuma gangChadema mmeungana na mafisadi papa waliopo Ccm.
Umawashwa na nini?Chadema mmeungana na mafisadi papa waliopo Ccm.
Tena kutoka Burundi
Na ndio LEGACY ametuachia, UKABILA. Yani mungu anisamehe tu ila sa hvi nkikaa na msukuma nakaa nae kwa machale[emoji33]Tena kutoka Burundi
Ulikuwa unasikilza weweMzee alikuwa ana hotuba strong sana kila akihitubia lazima watu wamsikilize, leo huyu mwamba ana jambo gani!
Wasukuma wa asili ya usukumani ni watu wazuri sana sema huyu ni kutoka kwa MichomberoNa ndio LEGACY ametuachia, UKABILA. Yani mungu anisamehe tu ila sa hvi nkikaa na msukuma nakaa nae kwa machale[emoji33]
Sent from my TECNO KG7h using JamiiForums mobile app