Je, utamkumbuka Hayati Magufuli kwa mambo gani?
Katika kumuenzi Baba Dr Mheshimiwa Comrade John Pombe Magufuli PhD inafaa paanzishwe Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia. Ili legacy ibaki Kwa vizazi na vizazi
Ni wazo zuri lakini hakuna mtu ndani ya utwawala ulipo atafanya hilo maana wamechagua kupambana naye akiwa mfu!!!
Hapa JPM akiwa mkemia wa kiwanda cha kuchakata mafuta ya kula katika jiji la dhahabu na samaki
1679048731926.png
1679048810358.png
 
View attachment 1734652
Picha: Hayati Rais Magufuli enzi uhai wake

This is a special thread and a tribute to the late J.P.M.

Najua tupo katika kipindi cha masikitiko kama taifa, Jemedari wetu amefariki dunia, kama lisemavyo neno la Mungu katika kitabu cha biblia kuwa mfalme hawezi kuokolewa kwa na jeshi lake kubwa bali ni Bwana hutuponya na mauti (Zaburi 33:16), yaliyoandikwa yametimia Mungu amlaze mahala pema peponi.

Hakika tutammiss, kama ule usemi usemao umuhimu wa mtu huonekana zaidi asipokuwepo.

Yafuatayo ni mambo aliyonikosha J. P. M (R. I. P).

1. Nidhamu kwenye taasisi za serikali, kuanzia matumizi, utendaji wa kazi na utoaji wa huduma.

2. Msimamo bila kujali nchi nyingine zimeamuaje, kimsingi maamuzi mengi yalifanywa kuzingatia maslahi ya nchi sio mkumbo ( i.e chanjo ya corona).

3. Super-Mega projects zenye maslahi ya muda mrefu, S.G.R, Nyerere, Mwendokasi n.k.

4. Kuwanyoosha majirani zetu walizoea kutuibia na kutuchezea michezo ya ajabu ajabu.

5. Kuleta siasa za kuambiana ukweli na sio za kubembelazana hovyo.

6. Kukomesha ujambazi na matukio ya kihalifu majumbani.

7.

Itaendelea...

PIA SOMA>> TANZIA - Rais John Pombe Magufuli afariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar
Ama kwa hakika tulipoteza kiongozi mwenye maono kwenye kizazi legelege!
 
Ujinga mzigo, sema sikulaumu maana ndo umri wako ulivyo, akina Sylvester Rwegasira unawajua? akina Amina Chifupa unawajua? akina Deo Filikunjombe unawajua? niendelee nisiendelee? Saa8 ndo kitu gani kwa hao?
Unalinganisha yule aliyekufa kwenye ajali ya helicopter na aliyepotezwa mazima hata kucha yake isionekane?
 
Mzee alikuwa ana hotuba strong sana kila akihitubia lazima watu wamsikilize, leo huyu mwamba ana jambo gani!
 
Back
Top Bottom