uwe hodari
JF-Expert Member
- Dec 16, 2022
- 4,041
- 8,644
Leo nimekuwa nikipitia hotuba mbalimbali za Baba yetu kipenzi Rais Magufuli (RIP) machozi yamenitoka tena
Huyu mtu alikuwa nabii, kiongozi, baba, mlezi, Mwana wa Afrika,
Namuomba Mungu anijalie japo robo ya uzalendo wa huyu mtu
Ee Mungu nijalie nami hata robo ya uzalendo wa Magufuli.
Wewe wajua wakati unaofaa na wakati usiofaa