Je, utamkumbuka Hayati Magufuli kwa mambo gani?
Ujinga ni mzigo,lkn hasahasa ujinga wa mtu maskini kama wewe,
Wajinga wakubwa nyie ambao mmeshindwa kuona maovu ya wazi wazi ya Magufuli na mismanagement ya hali ya juu ambayo mama sasa kwa miaka miwili anapambana kusahihisha.
 
Wewe unawaona wale waropokaji kina lissu ni wapinzani? Wale walikuwa wasaliti mkuu walikuwa kwenye payroll za muzungu
Nna maswal mawili ambayo nahitaji majibu bila janja janja!! Upinzani umekua msaada san kwa watanzania na utawala kwa kuibua kashfa nying za ufisadi na ubadhirifu wakiwa bungeni na hilo halina ubishi, ni nia njema kwa Taifa kuwabain wabadhirif na mafisad, je kwann upinzani ule wa hoja na kuibua kashfa mbalimbali hakuutaka kama kwel kulikua na nia thabit ya kupambana na ufisadi? Pili... Kama kwel kulikua na nia thabit ya kutokomeza ufisadi mpaka kwa viongoz inakuaje unawaongezea kinga kisheria wakuu wa mihimili? Badala ya kuondoa kinga na uweke sheria kali kutokomeza ufisadi wewe ndo unawaongezea kinga wengine!! Je kwa akili ya kawaida kbs kuna chembe ya uzalendo hapo??
 
Unajua JPM alifanya uhalifu kiasi gani kwa nchi hii? Unajua wafanyabiashara wangapi waliporwa mabilioni kwa ajili ya uchaguzi wa mwaka 2020? Unajua ni watu wangapi waliuwawa kwa kutofautiana naye kimawazo? Unajua ni kiasi gani cha fedha alificha China na kwingineko, fedha za mtanzania maskini?
Weka ushuhuda hapa siyo chuki binafsi,waafrika kwani mnaakili kila wakwenu akiwabana msiibe anakuwa mbaya akiwaachia muibe bado ni mbaya,kmmake zenu,

Wazungu waliwafanya vibaya lakini mnaona ndiyo wema na kuwaamini na kukopa kwao.

Bora yeye aliyeiba na kuonesha walau kujali na kurejesha nidhamu kidogo.
 
Sijui akili zenu zipo vp! Mnashindwa kuona jinsi JPM alivyoleta ubaguzi kwa upendeleo wa kikabila? Akina Makonda walivyokuwa miungu watu! Sabaya ni kielelezo kizuri cha uongozi mbovu kabisa wa Magufuli. Hakika huyu kijana mhalifu aliyetesa na kuwanyang’anya watu mabilioni leo hii angekuwa waziri kama Magufuli angekuwepo. Asante kwa ukombozi kutoka Juu na pia kwa mama Sabaya anapata haki yake gerezani. Acheni ujinga watanzania!
 
Wajinga wakubwa nyie ambao mmeshindwa kuona maovu ya wazi wazi ya Magufuli na mismanagement ya hali ya juu ambayo mama sasa kwa miaka miwili anapambana kusahihisha.
Hakuna chauovu wowote, ni hisiatu za kipumbavu.

Huouovu mnao jaribu kumuhusishanao ingekuwa nikweli nawewe pia ingekuwa kwa beberu ulaya kama mzee wa Miga.
 
Leo nimekuwa nikipitia hotuba mbalimbali za Baba yetu kipenzi Rais Magufuli (RIP) machozi yamenitoka tena

Huyu mtu alikuwa nabii, kiongozi,baba,mlezi,mwana wa africa,

Namuomba Mungu anijalie japo robo ya uzalendo wa huyu mtu

Ee Mungu nijalie nami hata robo ya uzalendo wa magufuli
Wewe wajua wakati unaofaa na wakati usiofaa
Robo haitoshi fika mia kabisa
 
Mungu akujalie haja ya moyo wako ila usiwe mkabila na kugawa watu kwa misingi ya kikanda ,kitaifa na kikabila ,uspendelee maene yenu peleka huduma kote kutokna na uhitaji
Mengine magufuli Ni rais Bora haswa period

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Unajua JPM alifanya uhalifu kiasi gani kwa nchi hii? Unajua wafanyabiashara wangapi waliporwa mabilioni kwa ajili ya uchaguzi wa mwaka 2020? Unajua ni watu wangapi waliuwawa kwa kutofautiana naye kimawazo? Unajua ni kiasi gani cha fedha alificha China na kwingineko, fedha za mtanzania maskini?
Sisi hatujui tuambie na ukishindwa wewe hayawani tutakuita mwongo
 
Leo nimekuwa nikipitia hotuba mbalimbali za Baba yetu kipenzi Rais Magufuli (RIP) machozi yamenitoka tena

Huyu mtu alikuwa nabii, kiongozi,baba,mlezi,mwana wa africa,

Namuomba Mungu anijalie japo robo ya uzalendo wa huyu mtu

Ee Mungu nijalie nami hata robo ya uzalendo wa magufuli
Wewe wajua wakati unaofaa na wakati usiofaa
Okay!Umepewa ofa ya kukaa "Milembe Hotels" kwa miezi mitatu ukihesabika kama mteja muaminifu.
 
Leo nimekuwa nikipitia hotuba mbalimbali za Baba yetu kipenzi Rais Magufuli (RIP) machozi yamenitoka tena

Huyu mtu alikuwa nabii, kiongozi,baba,mlezi,mwana wa africa,

Namuomba Mungu anijalie japo robo ya uzalendo wa huyu mtu

Ee Mungu nijalie nami hata robo ya uzalendo wa magufuli
Wewe wajua wakati unaofaa na wakati usiofaa
Uchawa skuiz hadi kwa nalemu??
Kuwa sasa nani kakuzuia!!
 
View attachment 1734652
Picha: Hayati Rais Magufuli enzi uhai wake​

This is a special thread and a tribute to the late J.P.M.

Najua tupo katika kipindi cha masikitiko kama taifa, Jemedari wetu amefariki dunia, kama lisemavyo neno la Mungu katika kitabu cha biblia kuwa mfalme hawezi kuokolewa kwa na jeshi lake kubwa bali ni Bwana hutuponya na mauti (Zaburi 33:16), yaliyoandikwa yametimia Mungu amlaze mahala pema peponi.

Hakika tutammiss, kama ule usemi usemao umuhimu wa mtu huonekana zaidi asipokuwepo.

Yafuatayo ni mambo aliyonikosha J. P. M (R. I. P).

1. Nidhamu kwenye taasisi za serikali, kuanzia matumizi, utendaji wa kazi na utoaji wa huduma.

2. Msimamo bila kujali nchi nyingine zimeamuaje, kimsingi maamuzi mengi yalifanywa kuzingatia maslahi ya nchi sio mkumbo ( i.e chanjo ya corona).

3. Super-Mega projects zenye maslahi ya muda mrefu, S.G.R, Nyerere, Mwendokasi n.k.

4. Kuwanyoosha majirani zetu walizoea kutuibia na kutuchezea michezo ya ajabu ajabu.

5. Kuleta siasa za kuambiana ukweli na sio za kubembelazana hovyo.

6. Kukomesha ujambazi na matukio ya kihalifu majumbani.

7.

Itaendelea...

PIA SOMA>> TANZIA - Rais John Pombe Magufuli afariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar
watu wasiojulikana kuwafanya watanzania tuokotwe kwenye viroba mwaloni
 
Unajua JPM alifanya uhalifu kiasi gani kwa nchi hii? Unajua wafanyabiashara wangapi waliporwa mabilioni kwa ajili ya uchaguzi wa mwaka 2020? Unajua ni watu wangapi waliuwawa kwa kutofautiana naye kimawazo? Unajua ni kiasi gani cha fedha alificha China na kwingineko, fedha za mtanzania maskini?
Tuwekee uthibitisho, mkuu.
 
Tupige maombi ili wenye uzalendo wa JPM wapatikane wengi na hatimaye taifa liongozwe na mzalendo kama JPM.
 
Back
Top Bottom