Je, utamkumbuka Hayati Magufuli kwa mambo gani?
Sasa ma RC na DC wa kazi gani kama Rais anatatua migogoro ya mashamba?!
Jamaa alisikiliza Mana shida za rc or dc wanakuwa bize mno na simu ama michepuko kuliko shida za raia wanaowahudumia so aliamua kuwasadia watu papo kwa papo. Mara kigogo anamdhulumu kikongwe eneo lake anahonga wakubwa anapeta
 
alipinga ushoga kwa kumzuia makonda aka bashite asipambane nao, pia alitatuta matatizo ya wananchi kwa kuwauwa,kuwateka,kuwapiga risas,kuanzisha genge la wasiojulikana,kufungulia kesi watu za uhujumu uchumi na kupora uchaguzi
Bashite mwenyewe mambo poa

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Rais hawezi kuongoza nchi kwa kusikiliza shida za kila mtu barabarani na kwenye mikutano. Rais anatakiwa ajishughulishe na mambo makubwa ya nchi kama sera na sheria za kitaifa na kimataifa na mikataba mikubwa mikubwa.
Siku hizi hawataki mabango

Siku hizi hawataki kusikiliza watu , Et Wana kikaratasi na kalamu wanaandika.

Wakishaondoka, kile kikaratasi kinatupwa !!
 
Jioneeni wenyewe Wakuu!!.

Hakuwahi kutokea mtu kama huyu, aisee JPM aligusa Maisha ya mnyonge yule wa chini Moja Kwa Moja kabisa.

Naomba Mungu anipe Angalau robo ya Roho ya JPM .

Huyu Mtu hapana, Eeehh , Kwakweli Mungu aliamua kuruhusu apumzike baada ya kazi kubwa aloifanya !!

Matatizo gani alitatua wakati ndiyo yameongezeka? Unaweza kuorodhesha matatizo aliyotatua?
 
Sasa ma RC na DC wa kazi gani kama Rais anatatua migogoro ya mashamba?!
Wako bize na simu na michepuko yao. So Ile kuwatembelea wananchi na kuwauliza Wana shida gani aone anazoweza tatua yeye amekaa anachati,miradi yake,familia na michepuko na kupiga picha na kuingia social networks
 
Saanane aliuliwa na CHADEMA, mwulize Dr Slaa. Mtu wa mwisho kumuona akiwa hai alikuwa ni mbowe hoteli ya Protea, hajatoa ripoti hadi leo kwa vile anajua. Azorygwanda aliuliwa na magaidi wa UAMSHO, aliajiriwa na magazeti ya Kenya akawa anapewa breakingnews na magaidi analipwa done nono. Magazeti ya Kenya yalipoona wapelelezi wa Polisi wanamkaribia wakawatonya magaidi wakamuua. Kanguye ni mhutu wa Burundi hili jambo analijua Zito Kabwe - essentially ni mauaji ya kikabila za Nchi jirani. Walioakufa Kibiti Lindi ni magaidi wa UAMSHO walikuwa wanaweka kambi majumbani na misikitini. Kuna wengine wengi CHADEMA Dr Slaa au Dr Mollel anawajua.
Nenda kashitaki polisi wewe tufwaaa
 
Ingekuwa hivyo basi serikali ingempa Mbowe kesi ya Mauaji ya Ben Saanane
 
Kwa nini badala ya kuwatembela wananchi asiwabadilishe hao ma RC na ma DC ??
Akianza kupita kwa mamilioni ya raia kuwasilikiza matatizo yao si hatafanya kazi nyingine?!
Wako bize na simu na michepuko yao. So Ile kuwatembelea wananchi na kuwauliza Wana shida gani aone anazoweza tatua yeye amekaa anachati,miradi yake,familia na michepuko na kupiga picha na kuingia social networks
 
Kwa nini badala ya kuwatembela wananchi asiwabadilishe hao ma RC na ma DC ??
Akianza kupita kwa mamilioni ya raia kuwasilikiza matatizo yao si hatafanya kazi nyingine?!
Najua unataka Nini sema Kuna ishu zingine very critical na pia alivyokuwa anatatua shida so alitaka kuwaonyesha rc how to work.
Pia inatakiwa ijulikane kuwa hao watawala sie wananchi ndio mabosi zao. So mtu tunamchagua wenyewe baadaye tunaanza kumuogopa Ina leta Mana kweli.
 
Wale aliowalipa Mwanza Je? yeye alisema hadharani wa Mwanza watalipwa kwa sababu walimpigia kura. Aliiba na hela za waathirika wa tetemeko kule Bukoba nayo je? Jamaa alikuwa msanii sana ule upara itakuwa ni wa kurithi huko kuzimu
Niletee hiyo Clip alisema wa Mwanza watalupwa kwakua walimpa Kura.
 
Back
Top Bottom