Mko wengi. Watu wa Dodoma wana maoni tofauti. Na SGR watu wote kanda ya maziwa makuu wanashukuru, zamani ikiitwa the Dark Continent sasa imefumuka asante Magufuli. Bila kusahau Watanzania wa kawaida waliokuwa wameachwa nyuma lami, shule, hospitali za rufaa, airport, CRDB, tigopesa, zamani zote hizizilikuwa kwa makamanda wa CHADEMA pekee. Pia kuna waliotaka rule of law, sheria, taratibu na kanuni, zamani ilikuwa matajiri na makamanda wa CHADEMA hawaguswi. Wengi pia wanafurahia makanikia yetu sasa yanawaidi Watanzania wote si mawakili wa mabeberu na makamanda wao, sasa mtu anakula kwa jasho lake. Pia kuna maelfu kwamaelfu waliokuwa wanaibiwa kura zao au kwa ulaghai au kikwelikweli, wapiga kura wa Rombo, Arusha, Machame, Kirua Vunjo, Sanya, na miji mikubwa ya madiaspora Mbeya, Iringa, Ubungo, Mwanza, zamani waliaminishwa kuwa Tanzania ni nchi inatawaliwa kwa Ukabila hadi Magu na Samia walipotoa Ilani nzuri makamanda wakuu hadi leo hawana ubunge hawatomsamehe marehemu. Of course hawa wote ni watu wazima, wamepokonywa to ge mdomoni, they are fighting back. But where! Hamtoweza.