uwe hodari
JF-Expert Member
- Dec 16, 2022
- 4,041
- 8,644
Kufungua a/c ChinaLeo nimekuwa nikipitia hotuba mbalimbali za Baba yetu kipenzi Rais Magufuli (RIP) machozi yamenitoka tena
Huyu mtu alikuwa nabii, kiongozi,baba,mlezi,mwana wa africa....
Unajua JPM alifanya uhalifu kiasi gani kwa nchi hii? Unajua wafanyabiashara wangapi waliporwa mabilioni kwa ajili ya uchaguzi wa mwaka 2020? Unajua ni watu wangapi waliuwawa kwa kutofautiana naye kimawazo? Unajua ni kiasi gani cha fedha alificha China na kwingineko, fedha za maskini mtanzania?
Ndiyo maana Samia alitoa mwito wafanyabiashara walionyang’anywa hela zao kupitia kodi haramu warudishiwe.[emoji16][emoji16] huo urongo unaamini na wewe?
Tofautisha mafisadi na wafanyabiashara....
Hivi ni sawa binadamu kumuita binadamu mwenzio devil🤷We kuufokia sisi waTZ Itatusaidia nini?? Hachana na huyo dictator JPM the devil and evil [emoji48], aendelee na moto wa jehanamu
Nna maswal mawili ambayo nahitaji majibu bila janja janja!! Upinzani umekua msaada san kwa watanzania na utawala kwa kuibua kashfa nying za ufisadi na ubadhirifu wakiwa bungeni na hilo halina ubishi, ni nia njema kwa Taifa kuwabain wabadhirif na mafisad, je kwann upinzani ule wa hoja na kuibua kashfa mbalimbali hakuutaka kama kwel kulikua na nia thabit ya kupambana na ufisadi? Pili... Kama kwel kulikua na nia thabit ya kutokomeza ufisadi mpaka kwa viongoz inakuaje unawaongezea kinga kisheria wakuu wa mihimili? Badala ya kuondoa kinga na uweke sheria kali kutokomeza ufisadi wewe ndo unawaongezea kinga wengine!! Je kwa akili ya kawaida kbs kuna chembe ya uzalendo hapo??Leo nimekuwa nikipitia hotuba mbalimbali za Baba yetu kipenzi Rais Magufuli (RIP) machozi yamenitoka tena
Huyu mtu alikuwa nabii, kiongozi,baba,mlezi,mwana wa africa,
Namuomba Mungu anijalie japo robo ya uzalendo wa huyu mtu
Ee Mungu nijalie nami hata robo ya uzalendo wa magufuli
Wewe wajua wakati unaofaa na wakati usiofaa
Ujinga ni mzigo,lkn hasahasa ujinga wa mtu maskini kama wewe,Unajua JPM alifanya uhalifu kiasi gani kwa nchi hii? Unajua wafanyabiashara wangapi waliporwa mabilioni kwa ajili ya uchaguzi wa mwaka 2020? Unajua ni watu wangapi waliuwawa kwa kutofautiana naye kimawazo? Unajua ni kiasi gani cha fedha alificha China na kwingineko, fedha za mtanzania maskini?
Ni vigumu sana kuujua uzalendo wa jpm,kama hata kuandika kwenyewe hujui,We kuufokia sisi waTZ Itatusaidia nini?? Hachana na huyo dictator JPM the devil and evil [emoji48], aendelee na moto wa jehanamu
Unatamani hata ungeweza kuwaagiza wasiojulikana paka wa jirani yako auawe haraka sana.Leo nimekuwa nikipitia hotuba mbalimbali za Baba yetu kipenzi Rais Magufuli (RIP) machozi yamenitoka tena
Huyu mtu alikuwa nabii, kiongozi,baba,mlezi,mwana wa africa,
Namuomba Mungu anijalie japo robo ya uzalendo wa huyu mtu
Ee Mungu nijalie nami hata robo ya uzalendo wa magufuli
Wewe wajua wakati unaofaa na wakati usiofaa
Babayetu namimiapa.Sema baba yako, baba yetu na nani
Mkazikwe sasaa na baba yenuBabayetu namimiapa.
Ajisemee mwenyeweSema baba yako, baba yetu na nani
Nani alikudanganya kuwa Tanzania tunawapinzani?,hawacwanaotetea mafisadi?,Nna maswal mawili ambayo nahitaji majibu bila janja janja!! Upinzani umekua msaada san kwa watanzania na utawala kwa kuibua kashfa nying za ufisadi na ubadhirifu wakiwa bungeni na hilo halina ubishi, ni nia njema kwa Taifa kuwabain wabadhirif na mafisad, je kwann upinzani ule wa hoja na kuibua kashfa mbalimbali hakuutaka kama kwel kulikua na nia thabit ya kupambana na ufisadi? Pili... Kama kwel kulikua na nia thabit ya kutokomeza ufisadi mpaka kwa viongoz inakuaje unawaongezea kinga kisheria wakuu wa mihimili? Badala ya kuondoa kinga na uweke sheria kali kutokomeza ufisadi wewe ndo unawaongezea kinga wengine!! Je kwa akili ya kawaida kbs kuna chembe ya uzalendo hapo??
[emoji1787][emoji1787] Yes!. We don't gave f@(.Mkazikwe sasaa na baba yenu
Watoto wa jambazi nyie 🤣🤣 mtakua vijambazi pia....vione macho yao[emoji1787][emoji1787] Yes!. We don't gave f@(.
Wetuliatu mudawako ukifika utazikwa na chetichako.