Cornel rambau
Member
- Aug 11, 2018
- 91
- 94
Hebu acha ujinga wako. Nenda kwenye Dictionary au Google upate maana ya charisma. Umeliokota hili neno mtaani na harakaharaka unaleta ushuzi huku.president
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hebu acha ujinga wako. Nenda kwenye Dictionary au Google upate maana ya charisma. Umeliokota hili neno mtaani na harakaharaka unaleta ushuzi huku.president
Katangulia motoniambae
Umeona eeh, halafu wala hakuvaa boxerMzungu kapelekeka [emoji91] mwingi sana hadi Bashite anatembea migulu baja
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Ujinga mtupu.Hakuna uongozi wa hivi. Alikuwa anaficha udhaifu wake wa kiungozi kwa kuwaongezea umaskini maskini na kiwahadaa eti wanyonge na Hana strategies zozote za kuondoa umaskini zaidi sana anaongeza idadi ya bodaboda na anaita eti ni ajira. Katika kipindi cake hajawahi kuajiri kabisa na hajapandisha misjahara. Sasa huo ndo ulikuwa uongozi Gani wa kutojari sheria zinasemajeJioneeni wenyewe Wakuu!
Hakuwahi kutokea mtu kama huyu, aisee JPM aligusa Maisha ya mnyonge yule wa chini Moja Kwa Moja kabisa.
Naomba Mungu anipe Angalau robo ya Roho ya JPM.
Huyu Mtu hapana, Eeehh, Kwakweli Mungu aliamua kuruhusu apumzike baada ya kazi kubwa aloifanya!
View attachment 2561435
Kumsikiliza shida siyo lazima show off za makamera, ni kujenga mazingira mazuri ili wazisake noti pasi na kumtegemea mtu kwa mabango. Samia amefanya na kfufua biashara zilizokufa kama mahoteli na utaliiSiku hizi hawataki mabango
Siku hizi hawataki kusikiliza watu, Eti Wana kikaratasi na kalamu wanaandika.
Wakishaondoka, kile kikaratasi kinatupwa!
Wanadhani sote ni Wasahaulifu!!Makonda pekee ndio alipinga ushoga hadharani baada ya kelele akina Magufuli waliokuja na statement wakisema anayoyafanya sio msimamo wa serikali Bali yeye binafsi..
Tafuta nyumbu ndio wadanganye.
BUNGE la Uganda, Leo wamepitisha mswada dhidi ya Ushoga.
Mashoga Uganda Sasa watatafuta pakukimbilia.
JPM was charismatic, you need to go back to school if you don't know what this is. 2015 ndiyo pekee mkono wa kulia ulikuwa inashindana na mkono wa kushoto. Lowassa was tough, na kuna mikoa ya CHADEMA ilimpigia 95%.Charismatic unaiba kura? Charismatic unaambulia asilimia 57 ya kura 2015 hata pamoja na wizi?. Linganisha charismatic ya Kikwete 2005 na Magufuli 2015 uniambie.
Exceptional ni Nyerere na Maalim Seif tu, huyo ibilisi kiongozi wa wasiojulikana tupa huko jalalani.
Umerogwa wewe sukuma gang wahediJPM was charismatic, you need to go back to school if you don't know what this is. 2015 ndiyo pekee mkono wa kulia ulikuwa inashindana na mkono wa kushoto. Lowassa was tough, na kuna mikoa ya CHADEMA ilimpigia 95%.
The Bulldozer was never known, walimjua Waziri wa Ujenzi tu hata hajawahi kuwa Katibu Kata. Angekuwa anybody else, awe Warioba aueacha Slaa au Lipumba ange-washout.
2020 tayari watu wameacha Ukabila wanafuata sera. Jimbo la kwanza kutoa matokeo likuwa Hai ambako Mbowe ameanguka 73%/20% kwa katoto kadogo, Kilimanjaro yote 100% ikamkataa Tundu Lissu. Ola tusisahau na yeye alishindashinda, mfano Kusini Pemba 85%/15% na Mfenesini Mjini Magharibi 88%/12%, yaani alipta kura 3,289 dhidi ya Magu 392.
Rudi shule Baba hata Kiarabu hujui. Msukuma waheed ni Mtemi Majebele aliyeweza kuleta mvua. Mchagga waheed ni Mangi Ndeserua aliyeweza kuwaroga kwa moshi kwenye mahandako ya Mlima wavamizi Wamasai. Au Chief Kingalu wa Matombo aliyetambika ukoma ukaisha. Tanzania ni Nji nzuri, tunajivunia variety ya makabila yetu, yanatuunganisha badala ya kututenganisha kama nyie mnavyotaka. Kama unataka Mkuu wa Mkoa awe kabila wapigiwe kura na wenyeji, mbona Washashi kabila 17 wako kaMkoa kamoja ka Mara kina Heche si itabidi warudi kwao kwa liraila? Au Warombo kina 30 si ni Wakamba wa Kenya wale? Si watatusaliti?Umerogwa wewe sukuma gang wahedi
Sina muda wa kuhangaika na punga la uyoleRudi shule Baba hata Kiarabu hujui. Msukuma waheed ni Mtemi Majebele aliyeweza kuleta mvua. Mchagga waheed ni Mangi Ndeserua aliyeweza kuwaroga kwa moshi kwenye mahandako ya Mlima wavamizi Wamasai. Au Chief Kingalu wa Matombo aliyetambika ukoma ukaisha. Tanzania ni Nji nzuri, tunajivunia variety ya makabila yetu, yanatuunganisha badala ya kututenganisha kama nyie mnavyotaka. Kama unataka Mkuu wa Mkoa awe kabila wapigiwe kura na wenyeji, mbona Washashi kabila 17 wako kaMkoa kamoja ka Mara kina Heche si itabidi warudi kwao kwa liraila? Au Warombo kina 30 si ni Wakamba wa Kenya wale? Si watatusaliti?
Yeah, bye! Nenda Kenya katafute tumehuru na serkali ya majimbo hii nji ya Nyerere na Karume tuachie. Kabla hujaingia njia za panya alizotumia mbowe kukimbia, naomba mfikirie Mbunge Kenan wa Sumbawanga, Mbunge pekee wa CHADEMA (CUF walipata 3 ACT walipata 7, waliobaki 270+ walijishindia CCM). Huyo Mbunge katukanwa juzi na tundulissu kuwa CHADEMA haimtambui ila ruzuku yake wanaitaka walipe madeni ya mbowe. Hata kina Halima sasa ruzuku yao inatakiwa. Aibu kwa BAWACHA kujikomba kwa Mama huku walishindwa kuwatetea kina Halima eti tu kwa kuwa washikaji 8 wa mbowe, mkewe tundulissu hawakuwamo. Embu nikurudishe kongameno la juzi la BAWACHA alipoitwa Rais? Unajua kuwa mwalikwa alikuwa ni Mzenj na Mwenyekiti BAWACHA alikuwa Mzenj? Hiyo ndiyo Tanzania, asante CCM, ingekuwa serkali yenu ya majimbo tungeona vita ya Wauru, Warombo na Kibosho. ZFZMWCCMSina muda wa kuhangaika na punga la uyole
kinakuuma nini kila mtu na mtazamo wake usitake nitazame kama unavyotazama wewe ingekuwa hivyo Dunia ingekuwa sio sehemu salama ya kuishiAtakumbukwa kwa lipi? Halafu hiyo ya Rais Bora kutokea mnaiongea kinafiki. Akina Nyerere wasemeje?. Tatizo mnaangalia mambo mwisho wa pua zenu.
Wewe ni MUSHUTI kutoka Burundi wala wewe siyo Mtanzania.Yeah, bye! Nenda Kenya katafute tumehuru na serkali ya majimbo hii nji ya Nyerere na Karume tuachie. Kabla hujaingia njia za panya alizotumia mbowe kukimbia, naomba mfikirie Mbunge Kenan wa Sumbawanga, Mbunge pekee wa CHADEMA (CUF walipata 3 ACT walipata 7, waliobaki 270+ walijishindia CCM). Huyo Mbunge katukanwa juzi na tundulissu kuwa CHADEMA haimtambui ila ruzuku yake wanaitaka walipe madeni ya mbowe. Hata kina Halima sasa ruzuku yao inatakiwa. Aibu kwa BAWACHA kujikomba kwa Mama huku walishindwa kuwatetea kina Halima eti tu kwa kuwa washikaji 8 wa mbowe, mkewe tundulissu hawakuwamo. Embu nikurudishe kongameno la juzi la BAWACHA alipoitwa Rais? Unajua kuwa mwalikwa alikuwa ni Mzenj na Mwenyekiti BAWACHA alikuwa Mzenj? Hiyo ndiyo Tanzania, asante CCM, ingekuwa serkali yenu ya majimbo tungeona vita ya Wauru, Warombo na Kibosho. ZFZMWCCM
NI lini hayo hapo juu yameacha kufanyika hapa TZ? na nani huwa anafanya exactly? Tanzania haijawahi kuwa chini ya chama kingine toka tupate Uhuru kama Tanganyika na hata tulipojiunga na Zanzibar.1. Kuhujumu uchaguzi
2. Kugandamiza demokrasia na kuua upinzani
3. Ku-'over shadow' mihimili mingine
Kuhujumu uchaguzi ndiyo mdudu gani? Wewe unaweza kuhujumu kura za Heche kwa Washashi wenziye siasa kali? Au kwa Mbowe kule Hai si alipogwa asubuhi na mapema? Kina Rehema Mdee walikama rundo la kura feki wakaanza kusisambaza. Wakaja polisi wawili traffic wa kike kuona kulikoni? Ndipo mabaunsa wake wakaanza kuzila haraka haraka kumbe zolikuwa deki kweli zimeprintiwa Mlimani City na timu ya makamanda toka Mara.NI lini hayo hapo juu yameacha kufanyika hapa TZ? na nani huwa anafanya exactly? Tanzania haijawahi kuwa chini ya chama kingine toka tupate Uhuru kama Tanganyika na hata tulipojiunga na Zanzibar.
Pumbaf sana sijui unaandika kitu gani vinginevyo umepiga cha kule NJOMBEKuhujumu uchaguzi ndiyo mdudu gani? Wewe unaweza kuhujumu kura za Heche kwa Washashi wenziye siasa kali? Au kwa Mbowe kule Hai si alipogwa asubuhi na mapema? Kina Rehema Mdee walikama rundo la kura feki wakaanza kusisambaza. Wakaja polisi wawili traffic wa kike kuona kulikoni? Ndipo mabaunsa wake wakaanza kuzila haraka haraka kumbe zolikuwa deki kweli zimeprintiwa Mlimani City na timu ya makamanda toka Mara.