Nonsence

Kifalsafa inaitwa "post hoc falacy" yaani ni ile kuamini kwamba kutokea kwa tukio moja kumesababisha kutokea kwa tukio jengine kitu ambacho ni ujinga na ulimbukeni.

Kila mtu amepangiwa siku yake ya kufa na haitochelewa hata sekunde moja muda ukifika unakufa tu , nadhani ni jambo la kheri sana marehemu akiachwa sasa kusemwa semwa mnaonekana ni watu wa ajabu.
 
Magufuli alikuwa akiwaelekeza maaskofu jinsi ya kuhubiri baada ya kukataa ile nonsense yake kuwa maombi yameondoa Covid
Na pia baada ya kubana mianya ya makanisa kutumika vibaya kwenye masuala kama miradi. au kufanya biashara ambazo halizingani na shughuli za kanisa.

Ukifanya hivyo unakuwa "subject" wa kulipa kodi.
 
Hayati Kadinali Rugambwa
Hayati Mufti mkuu Sheikh Simba
Hayati Julius K. Nyarere na marehemu wengine wote walifariki kwa kuwa hawakuungama ?
 
Kwamba waliokufa hawakutubu?

Hivi mtajifungua lini hizo mimba zake?
 
Na pia baada ya kubana mianya ya makanisa kutumika vibaya kwenye masuala kama miradi. au kufanya biashara ambazo halizingani na shughuli za kanisa.

Ukifanya hivyo unakuwa "subject" wa kulipa kodi.
Alitumia vibaya makanisa kufanya propaganda za siasa,

Mfano anaita maaskofu 50 kwenye function za kijinga kama vile kupokea ndege na kuwalipa mamilioni, tena maaskofu wenyewe ndio hawa akina Gwajima, Gamanywa, Mwamposa n.k walipiga sana hela za walipa kodi kipindi cha jiwe
 
Nabii wa shetani
Magu alikuwa Nabii.

Wakati kakobe na wenzie wamejificha na kuvaa barakoa, kuogopa corona.

Jembe likitokea hadharani kuwaelekeza wananchi ktk IBADA wafunge na kuomba.

Mungu wa Magu ndiye aliyeinusuru Dunia na tauni ya corona.

Amen
 
Nieleweshwe tafadhar.

KIFO NI ADHABU?
Watu wenye shida ya kuandika maneno ya kiswahili, michango yao hovyo kabisa. Sasa ''tafadhar'' ni nini? Kifo cha mapema ni zaidi ya adhabu. Hata Mungu alituumba ili tuishi mpaka tuzeeke.
 
Ingawa sikuwa ushabiki wa Marehemu, hapa Askofu alivuka mipaka na kwa kiasi hakuonyesha heshima/hekima. That's my opinion!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…