Miye sijui ananilinda nani!!?
 
Hakuna kitu kama hicho mwanadamu hawezi kuw mlinzi wa mwenzake Ubongo wako unahitaji Update haraka sana kabla Virus hawajafika mbali

Mbona sasa Magufuli alikuwa analindwa na walinzi wenye mabunduki kama alingia madarakani kwa kupindua nchi? Au wale walinzi wake walikuwa ni malaika maalum kutoka mbinguni?
 
Msimamo wa kiteolojia ni kwamba do as I say, not as I do. Hii ni kwa sababu hata Yesu alijua kuwa sisi siyo perfect. Kama unaamini kuwa kama Magu angetubu kwa Kakobe una maana angeishi milele. Maalim Seif angetubu kwa nani? Mama yake Zitto je, mwanaye angetubu kwa nani? Na Mtikila? What is your message exactly?

dani
 
Mbona sasa Magufuli alikuwa analindwa na walinzi wenye mabunduki kama alingia madarakani kwa kupindua nchi? Au wale walinzi wake walikuwa ni malaika maalum kutoka mbinguni?
Hiyo ni kwa mujibu wa Sheria ni Lazima Rais alindwe tu hata kam akisema Hataki lakini protocol za Ikulu zinamlazimu Alindwe,

lakin kwa hiyo hoja ya Kusema eti Mama yake nd alikuw kam Mlinzi wake Hapo Tunadanganyana Mwanadam yeyote anayekufa na kuoza hawez kuw mlinzi kwa mwenzke haswa haswa ukiileta hiyo hoja Kiroho km alivyosema mleta mada.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…