Je, utamkumbuka Hayati Magufuli kwa mambo gani?
Nulipoanza kujitegemea niliwahi kudate na binti kwao ni washirikina na wachawi ila sikurogwa sababu maombi ya mama yangu mzazi yalizidi tunguli za kwao na yule binti.

Baada tu ya kubreakup na huyo binti akaanza kudate na kijana mmoja ninaemfahamu,yule kijana alijikuta anamhonga binti gari yeyeanapanda daladala,akamhonga laptop,akamlipia kodi,akachukua mkopo akamjengea nyumba wakati yeye hata kiwanja hana.

Nguvu ya mama kwa mtoto wake ni kubwa sana,ukiwa na mama mchawi au mwanamaombi hakuna wa kukugusa.

Mwalimu Nyerere alitegemea ulinzi wa nguvu ya mama yake,baada ya bi Christina Mugaya Burito Nyerere kufariki mwaka 1997 ,mwalimu hakumaliza miaka miwili,mshika mikoba hayupo utaishije.

Hayati Magufuli alikuwa na bond kali na mama yake,yule mama wa watu alipoanza kuugua tu baasi Magufuli hakakosa ulinzi wa kiroho mpaka mauti ,naam mauti.

Usidharau nguvu ya mama
Miye sijui ananilinda nani!!?
 
Hakuna kitu kama hicho mwanadamu hawezi kuw mlinzi wa mwenzake Ubongo wako unahitaji Update haraka sana kabla Virus hawajafika mbali

Mbona sasa Magufuli alikuwa analindwa na walinzi wenye mabunduki kama alingia madarakani kwa kupindua nchi? Au wale walinzi wake walikuwa ni malaika maalum kutoka mbinguni?
 
Askofu Kakobe alimtaka Magufuli akatubu ili Mungu amsamehe. Alimuambia atubu sababu Magufuli alikuwa hafuati Sheria za Nchi. Kakobe alimwambia, CCM mpo wengi Bungeni, si mbadilishe tu katiba iwe ya chama kimoja kama hamtaki vyama vingi?

Kakobe akisema hata Mungu anatukanwa itakuwa wewe ndo usitukanwe wewe ni nani?

Je, Magufuli angetubu ili asife angepungukiwa nini?
View attachment 2564018View attachment 2564019
View attachment 2564015
Msimamo wa kiteolojia ni kwamba do as I say, not as I do. Hii ni kwa sababu hata Yesu alijua kuwa sisi siyo perfect. Kama unaamini kuwa kama Magu angetubu kwa Kakobe una maana angeishi milele. Maalim Seif angetubu kwa nani? Mama yake Zitto je, mwanaye angetubu kwa nani? Na Mtikila? What is your message exactly?

dani
 
Mbona sasa Magufuli alikuwa analindwa na walinzi wenye mabunduki kama alingia madarakani kwa kupindua nchi? Au wale walinzi wake walikuwa ni malaika maalum kutoka mbinguni?
Hiyo ni kwa mujibu wa Sheria ni Lazima Rais alindwe tu hata kam akisema Hataki lakini protocol za Ikulu zinamlazimu Alindwe,

lakin kwa hiyo hoja ya Kusema eti Mama yake nd alikuw kam Mlinzi wake Hapo Tunadanganyana Mwanadam yeyote anayekufa na kuoza hawez kuw mlinzi kwa mwenzke haswa haswa ukiileta hiyo hoja Kiroho km alivyosema mleta mada.
 
Back
Top Bottom