Hakuna kitu kama hicho mwanadamu hawezi kuw mlinzi wa mwenzake Ubongo wako unahitaji Update haraka sana kabla Virus hawajafika mbali
unapoambiwa mama ni Mungu wa Dunia we unaaelewaje, mi wiki iliyopita nilienda kujiangali mahali nikaambiwa yangekosa maombi ya mama yangu wangeshanilaza!

Sent from my SM-A515F using JamiiForums mobile app
 
unapoambiwa mama ni Mungu wa Dunia we unaaelewaje, mi wiki iliyopita nilienda kujiangali mahali nikaambiwa yangekosa maombi ya mama yangu wangeshanilaza!

Sent from my SM-A515F using JamiiForums mobile app
Kama Mama angekuwa ni mungu wa Dunia kwa mujibu wako basi Kusingekuwa na vitu vifuatavyo,..

1. Asilimia kubwa watu wangekuw matajiri, maan hakuna mama asiyependa mwanae asifanikiwe hivyo watu wangekuw wakiona tu fedha hazipo sawa badala ya kwend kukanyaga mafuta bas wao wangeenda kunenewa na mama zao na mambo yangekuw safi kabsa ila hilo lipo tofauti ukitaka mifano nitaweka.

2. Kusingekuwa na usaliti Duniani, ukiangalia ht dhana ya usaliti inaanzia kwa mwanamke hii ni kwa mujibu wa Mwanamke wa kwanza kabsa Aitwaye Hawa. Hadhi ya mungu sio kam vyeo vya Viti maalumu kwamba unapewa tu HAPANA BIG NO Mama hawez kuwa mungu wa Dunia zipo procecure maalum kufkia hiyo Level.

3. Magonjwa yasingetesa watu, watu wangekuw wakiumwa tu kidogo Wanaenda kwa mama zao wanatamkiwa maneno wanakuw shwari maisha yanaendelea.

4. Wataongezea wadau wanaoniunga hoja....
 

Mbona wakati wa marais wengine kabla yake hatukuona ulinzi wa aina yake alipokuwa madarakani?
 
Umesema kweli mtumishi nina ushahidi wa watu baba zao waliwatelekeza mama zao wangali wadogo mama zao walikosa matumaini wakaona sehemu pekee ni ya kupata faraja ni kanisani, wakashika imani.

Wakiwaombea watoto wao pana mmoja leo ni tajiri anamiliki mahoteli zanzibar viwanja majumba kibao Dar alikuwa mpambanaji ashalala Sana nje beach ashalima Sana vibarua, nk .

Leo kamjengea mama yake nyumba nzuri na usafiri kutoka kuishi nyumba ya nyasi.

Anasema nguvu ya mafanikio yake ni mama yake alipokuwa akipambana akipata hata kidogo lazima amtumie mama yake.
Ushuhuda ni wengi
 
Jiwe mchawi wake alikuwa ni makonda.
Na alifanya kosa kubwa kumpiga chini swahiba wake aliyemshikia mikoba.
Jiwe na bashite ni miguu na meza.
Tuliona hili mmoja akianguka tu mwingine hawezi songa.
Bashite alijitoa akatendwa ukimtenda mganga aliyekuinua lazima akutende.
Ukisimama na Mungu achana na shetani,ukishimama na shetani achana na Mungu.
Hizi falme mbili hazichangamani.
Nguvu ya jiwe ilikuwa kwa bashite
 
Watoto wote wanaharibiwa na mama zao ndio wenye hatima ya maisha yao. Mama mpumbavu anaemtamkia mwanae maneno ya laana upanda uharibifu ndani ya mwanae.
Kina mama wengi uwaporomoshea matusi makali watoto wao mfano mbwa, mjinga, changudoa, nk hapa unakuwa umeziita zile roho toka kuzimu ziingie kwa mwanao ndio zao la vibaka, panyaroad, changudoa, mateja nk.
 
Nitakumbuka maneno yake uasiyoendana na umri na wadhifa wake kama pale alipomwambia bwana mmoja abaki na mavi yake nyumbani na pale aliposema tanesco wayakojolee mabwawa ya kuzalisha umeme kuyajaza kama yana upungufu wa maji
Hiyo ni lugha ya kocha, wacha ujinga. Hukumbuki Kawawa aliwaambia UWT kuwaxwanekalia mali au Kikwete aliposema ukitaka kula lazima ukubalu kuliwa? Ni jinsi mtu anavyimudu lugha yake, kumbuka hawa siyo native Kiswahili speakers lugha wameijua ukubwani.
 
Miradi yote ilikuwepo; SGR, Mwendokasi, bwawa, kwenda Dodoma. Cha kwake ni uwanja wa ndege chato, traffic lights chato, bank ya CRDB chato, mbuga ya burigi chato na ikulu chato, kuengua wagombea wote na kutoongeza mishahara watumishi kwa miaka 5. Kulikuwa hakuna nidhamu kazini bali kulikuwa na woga kazini.
 
Alikuwa Mkristo, Mkatoliki.

Kuna amri za Mungu alizivunja:-
2. Usilitaje bure jina la Mungu wako
4. Waheshimu baba na mama upate miaka mingi na heri Duniani
5. Usiue
6. Usizini
7. Usiibe
8. Usiseme uongo
9. Usitamani mwanamke asiye mke wako
10. Usitamani mali ya mtu mwingine

Yapo mengi mojawapo Ukabila na haswa alipobagua mikoa ya iliyopo Kanda ya Kaskazini
 
Kuwaweka wafanyakazi wa Uma miaka 7 bila nyongeza ya mshahara wala kupanda daraja. Hili haliwezi kusahaulika.
Upuuzi ni mwingi saana aliofanya ambao hatutsahau,
1- Kutengeneza chuki miongoni mwa jamii ya watanzania, Mtakumbuka aliwahi kutamka kwamba mtu yeyote akimvamia kumpiga hata kumuua mpinzani asione askari wanamsumbua mtu huyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…