Rais Magufuli hakubagua upinziani, alipenda upinzani wenye dira ya mendeleo sio upinzani wa kukosoa kosoa na kukejeli kila kitu. Magufuli alikuwa mtu smart ndio maana wale wapinzani smart almost wote aliwachukua akawaingiza serikalini. Wapinzani wa nchi hii wengi walipoteza dira kipindi cha utawala wa Magufuli sababu iko wazi tu, Magufuli alideal na makundi ambayo ndiyo yanaupa nguvu upinzani ikiwa yataachwa bila kutatuliwa kero zao, mfano machinga, bodaboda mama lishe nk. Agenda muhimu kam kupambana na ufisadi nazo zilimpa credit, ndio sababu wapinzani wazalendo walihama wakabaki wale wenye maslahi toka nje na wachache wazalendo walibaki.

Kuna wapinzani wanadhani kuwa baada ya Magufuli kufariki upinzani utakuwa haraka, wanasahau kuwa upinzani wa kweli unatoka kwa wananchi na sio kwa wanasiasa, wanasiasa wao husimamia zile hoja za wananchi hasa wale wanyonge. Image ya upinzani wa Tanzania hasa CHADEMA inaharibika kwa kasi kwa kuwa wameanua kuhushi kiharakati zaidi kuliko kama chama kikukuu cha upinzani. Mtu mmoja anaweza kuharibu image ya chama halafu wote mkaonekana sio wazalendo au hampendi maendeleo ya nchi. Upinzani unabidi uwe option B au chaguo la pila kwa walioko chama tawala, sasa tujiulize ni rahisi kwa mwanasiasa wa sasa wa ccm kuhamia chadema kama ilivyokuwa ? na kama sivyo basi kutakuwa na shida fulani. Zamani ilikuwa ni fahari kuwa chadema ila kwa sasa ukiwa huko unajihisi sio mzalendo kutoka na mrengo wa baadhi ya watu ndani ya chama.
 
Hiyo Chato itageuka Gbadolite ya TZ

Ambapo "running way" ya ndege itaota nyasi na zile nyumba zilizojengwa chap chap, zitakuwa magofu na makazi ya popo!

Sorry, Inaitwa “Runway” Chief na sio ‘running way’!

Unless ni jambo lililopangwa which means linatarajiwa kutimizwa, basi itasimama kama nyingine!

Mwanza International Airport was so much needed kwa sasa lakini hatuna budi kwa sasa ila kukubaliana na uhalisia ili maisha yasonge!
 
Mi nashangaa watu wanapoonyesha majonzi kea kifo chake,majonzi na machozi yapo wapi kwa kifo Cha Ben saa nane,Mawazo,na viongozi kibao waliouliwa kikatili,?hivi unategemea Mtoto wa lisu,asikie majonzi na kumuulumia mtoto wa Maghu akikumbuka jaribio la mauaji dhibi ya baba yake.biashara za Mbowe zilialibiwa,ukumbi wa bilicana ulifungwa,mashamba yake ya maua,mpunga,yalialibiwa kabisa.
 
Alidhani Chato itakuwa Paris, kumbe Chato unaenda kuwa mji wa magofu mapya
Pamoja na kutofautiana na Jiwe kwa mambo mengi, nikiwa miongoni mwa wapinzani wake wengi, bado ninaamini kabisa kuwa Chato ina 'natural potential', Kama Mwanza, ya kuja kuwa jiji kubwa la kibiashara kwa kanda hiyo!
TAFAKARI!
 
Labda kwakuwa wakosoaji wengi walikuwa vibaraka..

Am just saying...
 
Daah we jamaa
 
Wakwere tunasena "Zisemwa zingi, zitendwa zingi"
 
His demise is a blessing in disguise to the country. During his 5+ years at the helm he discriminated against the people from opposition parties, he was a deeply polarizing figure.

Now that he is gone, the country will get an opportunity to unite again and forge ahead.
 
Wewe huelewi kitu bora tuu ukanyamaza. Eti wazalendo wakahamia ccm... Walihamia kwa kupenda ama walishinikizwa?

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Nashukuru kwa masahihisho hayo
 
Ni vigumu sana kumtenganisha huyo mzee na ukabila, ubaguzi wa kikanda na kiitikadi, ukatili, upendeleo, uonevu, ubinafsi, dhuluma, umungu mtu, utukufu, uongo, ukaidi, ujuaji ma unafiki.

Binafsi kama mtumishi wa umma naweza kusema alikuwa ni Rais wa hovyo kabisa kuwahi kutokea. JK alikuwa ni bora sana kwa makundi mengi katika jamii. Alifanya yote kwa wakati mmoja! Tofauti na huyu aliyefanya vile alivyo ona vinafaa, hata kama vilikuwa na maumivu kwa wengine.
 
Ninti wapinzani wa Tz ndiyo mnao mkataa lakini wa nchi za nje na zenye maendeleo wanamkubali waziwazi huo ni unafiki wenu tu.

Kiongozi atakae wachekea cdm watamtia dole akiwa amesimama kwani ni vigeugeu na ni watu wa kulialia tu.

Hakuna kama JPM na hakuna atakaefanya kazi na cdm ktk utawala wote wa Tz
 
Pamoja na kutofautiana na Jiwe kwa mambo mengi, nikiwa miongoni mwa wapinzani wake wengi, bado ninaamini kabisa kuwa Chato ina 'natural potential', Kama Mwanza, ya kuja kuwa jiji kubwa la kibiashara kwa kanda hiyo!
TAFAKARI!
Endela kulala umalizie ndoto unayoota
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…