Sijui kama kuna Rais kama JPM

Kwa Upande wangu JPM ndy Rais wangu Bora kuwahi kutokea, Itachukuaa miaka kumpata Rais kama JPM. Mungu amlazee mahala Pema peponi
Kwako wewe sukuma gang
 
Kwakutaka kumkill Mh TAL bila kibari kutoka kwa Sir God....
 
Busisi bridge, mto wami bridge, Sgr, ndege cash, hospital za wilaya rufaa na kanda, barabara, ujenzi wa makao makuu na kuhamia
 
Nini kilimtoa Prof. Assad offisini kama so kuhoji ufisadi wa lile chizi lenu
kutofautiana falsafa tu. wakati ule magufuli alikemea ufisadi lakini kwa point ambayo waliomzunguka walitumika kumuhujumu, pembeni yake kuna kundi kubwa la upinzani lilikua sawa kupinga lakin kwa malengo binafsi kiasi kwamba kuyumbisha wananchi wasiamini harakati za mwendazake . ndio maana vita ya magu na upinzani ilikua personal sana . CAG alisimama kwenye ukweli na uwazi . mwendazake alijua wimbi la raia kuhamisha fikra juu ya vitu vya kimaendeleo ambapo vingi alivyovianzisha viligubikwa na ufisadi so badala ya kumuunga mkono kwa kumpa moyo akaze uzi kwa wanaomuangusha ikaonekana yeye ndo yupo juu ya hayo yote so mzee alipaniki hapo
 
ALIWACHUKIA SANA WACHAGA, Alikuwa akisikia china la kichaga ni lazima aliassociate na wizi
 
[emoji1787]
 
MBONA umesahau mengi? Tanzania unayoiona Leo. Inayowaka mataa ni MAGUFULI. Tanzania unayoiona Leo kuku Sanyu fedha nyingi kutoka kwenye madini yetu ni MAGUFULI. Thamani ya Tanzania na kuwa na credit mzuri na uwezo mkubwa kulipa madani yetu ni MAGUFULI. TANZANIA SIO MASIKINI. KATUDHITISHIA KWA VITENDO. UTAPINGA, NA KUMUCHUKIA, LAKINI UKWELI HAUTAFUTIKA.
 
Alikuwa na mazuri yake km mwanadamu hakuwa mbaya kihivyo.
Nidhamu kwenye ofisi za serikali...
Sshivi mambo yamerudi km zamani
 
Flyover za tazara,ubungo interchange,rada alizonunua, Magufuli city iliyoko dodoma,meli alizonunua,sgr,stigler gauge huoni,stend ya Magufuli dar huoni
 
Bila shaka kale ka account chetu tulichoficha fedha China unakafaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…