Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utafiti umefanyika Kilimanjaro, Tanga na LindiAsilima 92? Huo utafiti uneufanyia viunga vya chato au wapi? Sample yako ni ya watu wa gamboshi shinyanga?
Bwashee yesu anakaribia kufufuka na waongo hawaendi mbinguni 😅😅😅😅Utafiti umefanyika Kilimanjaro, Tanga na Lindi
🤩🤩🤩Bwashee yesu anakaribia kufufuka na waongo hawaendi mbinguni 😅😅😅😅
Jo sikukumbuki ng'ooo🤔Naunga mkono hoja
Mtanikumbuka
Wazee wa Koro show hawatamsahau 😂😂😂Utafiti umefanyika Kilimanjaro, Tanga na Lindi
🤩🤩🤩Wazee wa Koro show hawatamsahau 😂😂😂
Kule zanzibar wakati uchaguzi alipeleka mamluki kutoka nchi jiran kupiga watu na kutesaView attachment 1734652
Picha: Hayati Rais Magufuli enzi uhai wake
This is a special thread and a tribute to the late J.P.M.
Najua tupo katika kipindi cha masikitiko kama taifa, Jemedari wetu amefariki dunia, kama lisemavyo neno la Mungu katika kitabu cha biblia kuwa mfalme hawezi kuokolewa kwa na jeshi lake kubwa bali ni Bwana hutuponya na mauti (Zaburi 33:16), yaliyoandikwa yametimia Mungu amlaze mahala pema peponi.
Hakika tutammiss, kama ule usemi usemao umuhimu wa mtu huonekana zaidi asipokuwepo.
Yafuatayo ni mambo aliyonikosha J. P. M (R. I. P).
1. Nidhamu kwenye taasisi za serikali, kuanzia matumizi, utendaji wa kazi na utoaji wa huduma.
2. Msimamo bila kujali nchi nyingine zimeamuaje, kimsingi maamuzi mengi yalifanywa kuzingatia maslahi ya nchi sio mkumbo ( i.e chanjo ya corona).
3. Super-Mega projects zenye maslahi ya muda mrefu, S.G.R, Nyerere, Mwendokasi n.k.
4. Kuwanyoosha majirani zetu walizoea kutuibia na kutuchezea michezo ya ajabu ajabu.
5. Kuleta siasa za kuambiana ukweli na sio za kubembelazana hovyo.
6. Kukomesha ujambazi na matukio ya kihalifu majumbani.
7.
Itaendelea...
PIA SOMA>> TANZIA - Rais John Pombe Magufuli afariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar
Amini wewe yatosha, sio kila mtu awe mpumbavu kama unavyotakaMsukule wa Magufuli wewe huwezi amini kitu. Ila dikteta alikuwa MWIZI
Shaddap! Kenya waje kutafuta nini? Unakumbuka Waziri Mkuu Shamte na Rais was Kenya Jomo Kenyatta walisaini mkataba kabla ya Uhuru wao (walipata siku moja) ambapo Shamte alirejesha kwa Kenyatta eneo lote la mwambao handing ndani maili 10?Hiyo ndiyo nchi jirani sidi iko dugumoja. Mzenj huja Chunbageni kupiga kura (ndiyo maana CUF wana nguvu sana Tanga) na Mdigo hupiga kura Mjimkongwe. Si mamluki ni dugu moja.Kule zanzibar wakati uchaguzi alipeleka mamluki kutoka nchi jiran kupiga watu na kutesa
Wa ruwanda na burundi wee kenge, walipiga watu sanaShaddap! Kenya waje kutafuta nini? Unakumbuka Waziri Mkuu Shamte na Rais was Kenya Jomo Kenyatta walisaini mkataba kabla ya Uhuru wao (walipata siku moja) ambapo Shamte alirejesha kwa Kenyatta eneo lote la mwambao handing ndani maili 10?Hiyo ndiyo nchi jirani sidi iko dugumoja. Mzenj huja Chunbageni kupiga kura (ndiyo maana CUF wana nguvu sana Tanga) na Mdigo hupiga kura Mjimkongwe. Si mamluki ni dugu moja.
Ben ndo kichaka Cha kujifichia?Unanikumbusha ben saanane
Kwa kutopandisha mishahara watumishiKwanini huu uzi ulifungwa na kwanini usifunguliwe?
TANZIA - Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli afariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Joseph Magufuli amefariki dunia. Taarifa rasmi iliyotolewa kwa umma na Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan kupitia Televisheni ya Taifa (TBC) leo usiku Machi 17, 2021 saa 5 usiku imeeleza kuwa Rais Magufuli amefariki dunia leo majira ya saa 12...www.jamiiforums.com
Ukiongelea haya unaumiza watu nafsi kwa kuwa ni aibu kwa taifaMkumbushe pia ile trillion 1.5 mpaka sasa haijulikani ilipo, fedha za plea bargain hazionekani na hata zilizoporwa bureau de change haijulikani zilipo