Je, utamkumbuka Hayati Magufuli kwa mambo gani?
Asilima 92? Huo utafiti uneufanyia viunga vya chato au wapi? Sample yako ni ya watu wa gamboshi shinyanga?
 
View attachment 1734652
Picha: Hayati Rais Magufuli enzi uhai wake

This is a special thread and a tribute to the late J.P.M.

Najua tupo katika kipindi cha masikitiko kama taifa, Jemedari wetu amefariki dunia, kama lisemavyo neno la Mungu katika kitabu cha biblia kuwa mfalme hawezi kuokolewa kwa na jeshi lake kubwa bali ni Bwana hutuponya na mauti (Zaburi 33:16), yaliyoandikwa yametimia Mungu amlaze mahala pema peponi.

Hakika tutammiss, kama ule usemi usemao umuhimu wa mtu huonekana zaidi asipokuwepo.

Yafuatayo ni mambo aliyonikosha J. P. M (R. I. P).

1. Nidhamu kwenye taasisi za serikali, kuanzia matumizi, utendaji wa kazi na utoaji wa huduma.

2. Msimamo bila kujali nchi nyingine zimeamuaje, kimsingi maamuzi mengi yalifanywa kuzingatia maslahi ya nchi sio mkumbo ( i.e chanjo ya corona).

3. Super-Mega projects zenye maslahi ya muda mrefu, S.G.R, Nyerere, Mwendokasi n.k.

4. Kuwanyoosha majirani zetu walizoea kutuibia na kutuchezea michezo ya ajabu ajabu.

5. Kuleta siasa za kuambiana ukweli na sio za kubembelazana hovyo.

6. Kukomesha ujambazi na matukio ya kihalifu majumbani.

7.

Itaendelea...

PIA SOMA>> TANZIA - Rais John Pombe Magufuli afariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar
Kule zanzibar wakati uchaguzi alipeleka mamluki kutoka nchi jiran kupiga watu na kutesa
 
Kule zanzibar wakati uchaguzi alipeleka mamluki kutoka nchi jiran kupiga watu na kutesa
Shaddap! Kenya waje kutafuta nini? Unakumbuka Waziri Mkuu Shamte na Rais was Kenya Jomo Kenyatta walisaini mkataba kabla ya Uhuru wao (walipata siku moja) ambapo Shamte alirejesha kwa Kenyatta eneo lote la mwambao handing ndani maili 10?Hiyo ndiyo nchi jirani sidi iko dugumoja. Mzenj huja Chunbageni kupiga kura (ndiyo maana CUF wana nguvu sana Tanga) na Mdigo hupiga kura Mjimkongwe. Si mamluki ni dugu moja.
 
Nitamkimbika kwa kauli yake
Kwa mara ya kwanza Bungeni
Alisema mafanikio ya Serikali yangu
Nimefikuza wafanyakazi feki 12500
PhD huyo

Sent from my vivo 2015 using JamiiForums mobile app
 
Shaddap! Kenya waje kutafuta nini? Unakumbuka Waziri Mkuu Shamte na Rais was Kenya Jomo Kenyatta walisaini mkataba kabla ya Uhuru wao (walipata siku moja) ambapo Shamte alirejesha kwa Kenyatta eneo lote la mwambao handing ndani maili 10?Hiyo ndiyo nchi jirani sidi iko dugumoja. Mzenj huja Chunbageni kupiga kura (ndiyo maana CUF wana nguvu sana Tanga) na Mdigo hupiga kura Mjimkongwe. Si mamluki ni dugu moja.
Wa ruwanda na burundi wee kenge, walipiga watu sana
 
Kwanini huu uzi ulifungwa na kwanini usifunguliwe?

Kwa kutopandisha mishahara watumishi
 
Back
Top Bottom