Kwanza kipindi Cha jpm, jwtz eti mpaka upitie jkt wakati kipindi Cha jk hizo mambo hazikuwepo kabisa. Jwtz ilikuwa ni wito ambao ukiwa nao unaenda moja kwa moja bila Kona Kona jpm akaja kuharibu ikawa ngumu sana. Tiss akaja wasukuma kibao na ukabila na uccm ukawa ni tiketi ya kupata ajira. Kila kijana akawa anasaka kadi ya ccm ili angalau abahatishe bahati yake. But all ni all ajira was a disasaster during jpm's regimeHaikuwa bahati yako utawala ulee,, kuna watu kibao walipata ajira kipindi hicho,, JWTZ, TISS, TAKUKURU, ELIMU, AFYA, POLISI nk
Mm nina madogo kibao wameajiriwa utawala ule japo na waliofutwa kazi kwa uzembe wao pia wapo ila siwezi kulaumu
Mkuu hii isomeke "dhambi"zambi
Kichaa yule Bora tulimleftisha mna nchi ingekuwa kwenye Lindi la umaskini mpaka Sasa na machinga wangekuwa wengi barabarani tena wasomi. Kwa Sasa kila msomi ana ajira yenye staha hakuna msomi barabarani tenaZawadi tuliyoipoteza.
Hiyo TAKATAKA inakumbukwa na wajinga tu.Mkuu mimi ni mtu mzima lakini machozi yananilenga nikiangalia clip ya JPM.
Naikumbuka sana kauli yake ya "Msema kweli mpenzi wa Mungu", na "Mimi nawaambia ukweli ndugu zangu, mimi ndio rais, siri zote nazijua, hakuna mtu mwingine atawaambieni ukweli, nchi hii imechezewa sana"
Ila ukweli unaujua nafsini mwako, JPM pampja na mapungufu yake Mali zetu katetea kwa kadiri ya uwezo wake. Ukizungumzia swala la ajira na vipato vya watu kina mazingira lazma tufunge mkanda tusonge mbele as you ulivyokuwa Ching's kupata mkate na ulichonacho SASA haiimanishi uchumi WA watu wote umeimarika katika uongozi huu.Kichaa yule Bora tulimleftisha mna nchi ingekuwa kwenye Lindi la umaskini mpaka Sasa na machinga wangekuwa wengi barabarani tena wasomi. Kwa Sasa kila msomi ana ajira yenye staha hakuna msomi barabarani tena
Kufunga mikanda ilikuwa ujinga wa jpm ndo mana Samia amekuja kumproove wrong kwa kuwaletea ahueni vijana badala ya kutembeza nguo na vyombo barabari na degree zao. Hayo tuwaachie darasa la sabaIla ukweli unaujua nafsini mwako, JPM pampja na mapungufu yake Mali zetu katetea kwa kadiri ya uwezo wake. Ukizungumzia swala la ajira na vipato vya watu kina mazingira lazma tufunge mkanda tusonge mbele as you ulivyokuwa Ching's kupata mkate na ulichonacho SASA haiimanishi uchumi WA watu wote umeimarika katika uongozi huu.
Mbona baadhi Yao mnao mpaka Leo kwenye uongozi huu? Taka zao hamzioni au utaka wao unawafaa kwa sasa?Hiyo TAKATAKA inakumbukwa na wajinga tu.
Very unfortunate nation. Yaani ukitaka kujua kuwa Magufuli alikuwa mtu wa HOVYO angalia watu ambao aliwakumbatia kama wasaidizi wa karibu.
1. Daud Bashite aka Makonda
2. Lengai Ole Sabaya
3. Mrisho Gambo
Hiyo mijitu yote ni takataka, miuaji, mijitu ya unyang'anyi na iliyokosa maadili. Still wapumbavu bado wanamuita Magufuli shujaa wao
Wewe ni taahiraY
Yule mwehu aliyeua uchumi nani amkumbuke. Hakuamini katika ajira za vijana kabisa ndoa zikaanza kusambaratika na ndoto za watu hasa graduates zikapotea kabisa. Mama anarudisha ndoto zao taratibu na kwa kuanzia tu tayari kaajiri walimu na madaktari elfu 13 na kila ukikatiza Sasa hivi kila Kona Kuna ajira zinamwagwa tu
Watembeza nguo na Vyombo wameisha? Hao la Saba hawaihitaji maisha Bora na miundo mbinu mizuri na viongozi wenye kuthamini resources zao for betterment future generation of those so called la Saba?Ndo
Kufunga mikanda ilikuwa ujinga wa jpm ndo mana Samia amekuja kumproove wrong kwa kuwaletea ahueni vijana badala ya kutembeza nguo na vyombo barabari na degree zao. Hayo tuwaachie darasa la saba
Darasa la saba hizo kazi zao. Sisi wasomi hatukusonea kushinda na vyombo barabarani. Kila mmoja ale kwa urefu wa kamba yake.Watembeza nguo na Vyombo wameisha? Hao la Saba hawaihitaji maisha Bora na miundo mbinu mizuri na viongozi wenye kuthamini resources zao for betterment future of those so called la Saba?
Takataka ni wewe na wazazi wako!Hiyo TAKATAKA inakumbukwa na wajinga tu.
Very unfortunate nation. Yaani ukitaka kujua kuwa Magufuli alikuwa mtu wa HOVYO angalia watu ambao aliwakumbatia kama wasaidizi wa karibu.
1. Daud Bashite aka Makonda
2. Lengai Ole Sabaya
3. Mrisho Gambo
Hiyo mijitu yote ni takataka, miuaji, mijitu ya unyang'anyi na iliyokosa maadili. Still wapumbavu bado wanamuita Magufuli shujaa wao
Una takwimu zozote kwa hili usemalo bro? Ahueni ipi hiyo?Ndo
Kufunga mikanda ilikuwa ujinga wa jpm ndo mana Samia amekuja kumproove wrong kwa kuwaletea ahueni vijana badala ya kutembeza nguo na vyombo barabari na degree zao. Hayo tuwaachie darasa la saba
Ukitaka kula kubaki kuliwa pia. Hii ndo principal ya maisha. Ukiogopa kuliwa utakufa maskini kwa ujinga wako. Jpm alikuwa anawajaza ujinga ndo maana maskini walikuwa wanaongea kila uchwao na yeye anawaambia eti. Umaskini ndo uzalendo wenyewe. Fala yuleTakataka ni wewe na wazazi wako!
Ndio maana Samia akingalia watu wenye akili mavi kama wewe anaishia kuwauza kwa warabu tu!
Ngoja waarabu watawale mtapigwa mtungo hadi mkome
Ajira kwa Sasa zimejaa kila Kona na juzi juzi tu ajira elfu 13 zimetolewa kwa kuanzia na Bado mazuri yanakuja be patientUna takwimu zozote kwa hili usemalo bro? Ahueni ipi hiyo?
Itakua ulifeli fom foo kama huyu wa sasa aliyewatetea vyeti feki.Kichaa yule Bora tulimleftisha mna nchi ingekuwa kwenye Lindi la umaskini mpaka Sasa na machinga wangekuwa wengi barabarani tena wasomi. Kwa Sasa kila msomi ana ajira yenye staha hakuna msomi barabarani tena