Je, utamkumbuka Hayati Magufuli kwa mambo gani?
Ndugu zangu kwa kuwa bado nina huzuni kuu wacha nikuachieni kitu ambacho kimenifanya leo nilie kama mtoto mwenyezi Mungu amrehemu huko alipo
So kilichokuliza ni nini mkuu, uyu ndo chanzo cha matatizo yote mpaka bandari zinauzwa, alikwiba uchaguzi wote 2020 ,leo tunaona tunao wabunge wa aina ipi,
 
Karibu Ndugu marafiki Tumkumbuke Ndugu yetu kipenzi. Mwenye chochote kizuri a post hapa.

=======

Hayati Magufuli: Kila mkataba unapotengenezwa huwa una kipengele cha kuvunja, zinavunjika ndoa sembuse mkataba! Ndoa unapendana na mke wako, na mme wako, my honey, my bibi I love you. Baadae mnatoka pale mnatukanana mnasema kwaheri ya kuonana sembuse mikataba hii?

Ni lazima muisimamie mikataba hii, muireview upya, nazungumza hili kwa uwazi ili kila mmoja aelewe. Tunawapenda wawekezaji kwa njia ya PPP lakini ni lazima iwe win-win situation, tumechoka kufanyiziwa biashara na matapeli.

 
Y
Karibu Ndugu marafiki Tumkumbuke Ndugu yetu kipenzi. Mwenye chochote kizuri a post hapa.
Yule mwehu aliyeua uchumi nani amkumbuke. Hakuamini katika ajira za vijana kabisa ndoa zikaanza kusambaratika na ndoto za watu hasa graduates zikapotea kabisa. Mama anarudisha ndoto zao taratibu na kwa kuanzia tu tayari kaajiri walimu na madaktari elfu 13 na kila ukikatiza Sasa hivi kila Kona Kuna ajira zinamwagwa tu
 
Back
Top Bottom