Mzalendo Uchwara
JF-Expert Member
- Jan 26, 2020
- 4,437
- 13,836
Mkuu mimi ni mtu mzima lakini machozi yananilenga nikiangalia clip ya JPM.
Naikumbuka sana kauli yake ya "Msema kweli mpenzi wa Mungu", na "Mimi nawaambia ukweli ndugu zangu, mimi ndio Rais, siri zote nazijua, hakuna mtu mwingine atawaambieni ukweli, nchi hii imechezewa sana"