Je, utamkumbuka Hayati Magufuli kwa mambo gani?
Ndugu zangu kwa kuwa bado nina huzuni kuu wacha nikuachieni kitu ambacho kimenifanya leo nilie kama mtoto mwenyezi Mungu amrehemu huko alipo
Aisee, kweli duniani kuna watu wa aina nyingi, najiuliza Wanyonge waliumbwa ili wawe wanajiliza kwa mambo ya kijinga au kusudi ni nini? Mtu anamlilia mtu kama Jiwe [emoji848][emoji848][emoji848]
 
Back
Top Bottom