maku wee

Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
 
Hayati Magufuli alikarabati reli hiyo pamoja na mabehewa zaidi ya 500. Aliwarudisha kazini mafundi wote wastaafu wa shirika la reli na wakafanya kazi ya kizalendo sana.

Huu mkopo wa Bil 516 kwa ajili ya ukarabati wa MGR Dar-Kigoma Je ni halisi? Ukarabati unahusisha nini na nini?
 
Na wewe uliamini alitumia fedha za ndani?
 
Pamoja na tofauti hiyo lakini haiwezi fika 500B mkuu
Kuna ukarabati kama ukarabati kwa ajili ya usalama wa miundombinu na maendeleo ya jumla ya watu na kuna ukarabati kwa ajili ya kukamata attention za wajinga kwa ustawi wa mtu binafsi.

Wenye akili hatujasahau zile gorofa zilizojengwa kwa mil.500
 
Arusha-Dar ukarabati wa reli uwe 5b! Mkuu unaota au akili imeishia hapo? Inawezekana kweli hizi 500b kuna upigaji ambayo Sasa ni fashion, lakini Magufuli alikuwa muongo wa kutupa . Hakuna uwezekano wa rail iliyokuwa imechakaa vile ifufuliwe kwa 5b.
 
Arusha-Dar ukarabati wa reli uwe 5b! Mkuu unaota au akili imeishia hapo? Inawezekana kweli hizi 500b kuna upigaji ambayo Sasa ni fashion, lakini Magufuli alikuwa muongo wa kutupa . Hakuna uwezekano wa rail iliyokuwa imechakaa vile ifufuliwe kwa 5b.
Toka uzaliwe leo ndo umeandika point.
 
maku wee

Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
Nonsense -
Achana na mafundisho potofu,
Acha kabisa kutegemea kisicho kutegemea baada ya kufa kwako.

Unachokiamini ni upuuzi mtupu.

Tundu lissu sio MUNGU ni mtu Kama watu wengine kamwe hawezi kumpitisha magufuli aende peponi ama kuzimu.

Ukifa uwe umetenda mema au mabaya,
Matendo yako mwenyewe YATAKUFUATA.

Kila MTU atabeba furushi lake mwenyewe.
 
Bora ya JPM, ana Cha kumsema. Mpaka CCM wanatembelea mafanikio yake tu. Miaka 3 ya SA100 anajinasibu Kwa mafanikio ya JPM tu
 
Ni Hapa Calvary Assembly of God Nyerere road Mchungaji anasema matendo Mema ya mwendazake huambatana naye Milele

Mchungaji ametoa mfano wa dhihaka alizofanyiwa Yesu na Hata kuporwa Mavazi yake lakini Kazi na Miujiza yake inadumu hadi Leo

Ndivyo ilivyo kwa Kazi njema ya shujaa Magufuli zitaendelea kudumu Hata pajapo usaliti wa Wanasiasa wanaoishi, amesema Mchungaji

Nawatakia Dominica Njema 😄
 
Muchungaji asimfananishe Yesu (Mungu) na watu wa kawaida. Mchungaji atubu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…