Yule mpuuzi alianzisha somo la historia kwa kiswahili shule za sekondari, alichapisha mpk vitabu vilivyokuwa vimesheheni wasifu wake tu. Alipotwaliwa serikali ya ccm ikavipiga kiberiti.
 
Enzi za Giza, nilitembelea shule za Msingi kadhaa mikoa ya Tabora, Singida, Simiyu na Mwanza. Zote wakati wa ASSEMBLY/mkusanyiko wa asubuhi waliimba nyimbo za kumsifu SHUJAA (wa COVID-19) ila ndio mambo yakaharibika kabla ya 2025.
Dah kwa level hii ya ufikiri deni la taifa litazidi kupanda
 
Enzi za Giza, nilitembelea shule za Msingi kadhaa mikoa ya Tabora, Singida, Simiyu na Mwanza. Zote wakati wa ASSEMBLY/mkusanyiko wa asubuhi waliimba nyimbo za kumsifu SHUJAA (wa COVID-19) ila ndio mambo yakaharibika kabla ya 2025.
Ficha ujinga wako haya yanayoendelea bado tu unaendelea kumzushia JPM?

Msemeni huyo Mngazinja
 
Shujaa alisifiwa kupitiliza Ila ilipofika Machi bhaasi
 
Tuwekee wimbo mmoja uliowahi kuusikia. Maana mimi ni mfuasi mtiifu sana wa Mwamba Jiwe lakini sijawahi kusikia wala kuona jambo hilo ingawa ningelifagilia kama lingelikuwepo!
 
Boss kuna mtu katekwa, kuteswa, kupigwa risasi na kutupwa kwenye hifadhi ili iwe kitoweo kwa simba na fisi vipi hiyo habari unayo pia.
 
Shule za Tanga ilikua Lazima kila siku asubuhi
 
Tuliwahi kuwaambia Watu wa Dunia waje wajifunze CCM Mbinu za kushawishi Watu Ili wakupigie kura nyingi

Hadi sasa CCM ni kinara kwa Kupata Viti vingi vya Wabunge, Madiwani na Kura nyingi za Rais barani Africa

CCM ni Chuo cha Siasa Barani Africa

Sabato Njema 😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…