Naby Keita
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 12,893
- 20,089
Anasumbua hadi walioko hai, ndo maana ngumu kusahaulika,,,kaacha legacyAnasumbua malaika wenzake wa giza huko jehanam
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anasumbua hadi walioko hai, ndo maana ngumu kusahaulika,,,kaacha legacyAnasumbua malaika wenzake wa giza huko jehanam
Kweli legacy yake tunaiona Sativa katekwa majuzi.Anasumbua hadi walioko hai, ndo maana ngumu kusahaulika,,,kaacha legacyView attachment 3028210kuna rais marehemu ambae anasumbua walio hai kama huyu??
MtanikumbukaKweli legacy yake tunaiona Sativa katekwa majuzi.
Kwisha habari zakeCorona ilitufaa sana kumfyekelea mbali.
Dah kwa level hii ya ufikiri deni la taifa litazidi kupandaEnzi za Giza, nilitembelea shule za Msingi kadhaa mikoa ya Tabora, Singida, Simiyu na Mwanza. Zote wakati wa ASSEMBLY/mkusanyiko wa asubuhi waliimba nyimbo za kumsifu SHUJAA (wa COVID-19) ila ndio mambo yakaharibika kabla ya 2025.
Ficha ujinga wako haya yanayoendelea bado tu unaendelea kumzushia JPM?Enzi za Giza, nilitembelea shule za Msingi kadhaa mikoa ya Tabora, Singida, Simiyu na Mwanza. Zote wakati wa ASSEMBLY/mkusanyiko wa asubuhi waliimba nyimbo za kumsifu SHUJAA (wa COVID-19) ila ndio mambo yakaharibika kabla ya 2025.
Tuwekee wimbo mmoja uliowahi kuusikia. Maana mimi ni mfuasi mtiifu sana wa Mwamba Jiwe lakini sijawahi kusikia wala kuona jambo hilo ingawa ningelifagilia kama lingelikuwepo!Enzi za Giza, nilitembelea shule za Msingi kadhaa mikoa ya Tabora, Singida, Simiyu na Mwanza. Zote wakati wa ASSEMBLY/mkusanyiko wa asubuhi waliimba nyimbo za kumsifu SHUJAA (wa COVID-19) ila ndio mambo yakaharibika kabla ya 2025.
Video zipo Ila zina watoto (sitaki kuonyesha Sura zao) wakiimba nyimbo husika
Boss kuna mtu katekwa, kuteswa, kupigwa risasi na kutupwa kwenye hifadhi ili iwe kitoweo kwa simba na fisi vipi hiyo habari unayo pia.Enzi za Giza, nilitembelea shule za Msingi kadhaa mikoa ya Tabora, Singida, Simiyu na Mwanza. Zote wakati wa ASSEMBLY/mkusanyiko wa asubuhi waliimba nyimbo za kumsifu SHUJAA (wa COVID-19) ila ndio mambo yakaharibika kabla ya 2025.
Video zipo Ila zina watoto (sitaki kuonyesha Sura zao) wakiimba nyimbo husika
Shule za Tanga ilikua Lazima kila siku asubuhiEnzi za Giza, nilitembelea shule za Msingi kadhaa mikoa ya Tabora, Singida, Simiyu na Mwanza. Zote wakati wa ASSEMBLY/mkusanyiko wa asubuhi waliimba nyimbo za kumsifu SHUJAA (wa COVID-19) ila ndio mambo yakaharibika kabla ya 2025.
Video zipo Ila zina watoto (sitaki kuonyesha Sura zao) wakiimba nyimbo husika
2020 Alikuwa anashindana na NEC?Tuliwahi kuwaambia Watu wa Dunia waje wajifunze CCM Mbinu za kushawishi Watu Ili wakupigie kura nyingi
Hadi sasa CCM ni kinara kwa Kupata Viti vingi vya Wabunge, Madiwani na Kura nyingi za Rais barani Africa
CCM ni Chuo cha Siasa Barani Africa
Sabato Njema 😀