Ungeandika "REKODI YA WIZI/UNYANG'ANYI WA UCHAGUZI".Ruto-hustler anakusabahi.
 
Mbona humtaji Alh Ali Hassan Mwinyi 1984 alipata ushindi wa 98%?
 
Ni siku ni miezi ni miaka toka Rais Magufuli atuachie pengo kubwa lisiloweza kuzibika mpaka Yesu arudi
Waliokuwa wanamchukia sasa wana mtamani. Kila mtu ana mkumbuka Magufuli na kila mtu angetamani Magufuli arudi Ila haiwezekani tena tumebaki kulia
 
Hakika watanzania wote tunamkumbuka maana mama Yao(kizimkazi)kaharibu kila kitu na anazidi kutuharibia tu Nchi yetu.
 
JPM,

Sielewi kama atatokea mtu mfano wake mwenye kuipenda nchi kiasi cha kuwa tayari kuifia kwa kupambana na mafisadi ya ccm
 
Tunamshukuru Mungu kwa kutuondolea yule kiongozi muovu bila damu kumwagika. Kama unamkumbuka, mkumbuke kimpango wako.
 
Kwa kuvurugia vijana ndoto zao baada ya kufuta ajira.
 
Hakika
 
Hili liko wazi kabisa kwamba miradi miwili mikubwa ya Bwawa la Umeme la Mwalimu Nyerere na Reli ya Kisasa ya SGR haviwezi kuifilisi nchi kamwe

Tunajivunia legacy 🌹🌹

Mlale Unono 😀😀
 
Kila nikikutana na Waganda ( Raia wa Uganda ) na wakijua Mimi ni Mtanzania huniambia upesi tu haya yafuatayo......

1. Wananchi wa Uganda tulimpenda sana Magufuli
2. Waganda tunajua Magufuli aliuliwa na Wazungu kwakuwa alikuwa akisimamia Mali za Tanzania na Afrika
3. Waganda wengi tunapenda kuangalia TV yenu ya TBC1 kwasababu ya Magufuli na alivyokuwa Akihutubia
4. Waganda tunaona Magufuli kaibadilisha upesi Tanzania Kimaendelea na angekuwepo ingeendelea mno
5. Waganda tuliipenda ghafla Tanzania hadi hata kuionea Wivu kwa kuwa na Magufuli
6. Waganda tulifaidika nae sana japo hakuwa huku Kwetu na tutamkumbuka na wengine tunamlilia mno
7. Waganda tulifika sehemu hata kutamani Magufuli awe Rais wa Afrika ili Wazungu waache Kutunyonya Waafrika

Upumzike kwa Amani Hayati Magufuli najua umesahaulika ila Mimi GENTAMYCINE nitakukumbuka na kukuimba sana.
 
Kaka bado Upo Uganda?
Nipo mpaka 2026 na Mwenyezi Mungu akibariki Museveni akisema atagombea tena 2026 nitakuwepo au kama Muhoozi atagombea ndiyo naweza kuwepo mazima huku na hata huko Tanzania nikapasahau kabisa. Na kama Mwenyezi Mungu akibariki zaidi basi naweza pia miaka hiyo hiyo nikawa AU au SADC au EAC upande wa Tafsiri kwa Uratibu maalum wa hapa nilipo. Tunza hii post kwa kumbukumbu na matumizi ya baadae kwani nimekuandikia kwa Kujiamini kwa 100% kama ilivyo desturi yangu.

Nimemaliza.
 
Tunarudi nyuma tena Miaka kaka,kweli wewe umezoea reverse so Upo mpaka 2016?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…