Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ungeandika "REKODI YA WIZI/UNYANG'ANYI WA UCHAGUZI".Ruto-hustler anakusabahi.Tuliwahi kuwaambia Watu wa Dunia waje wajifunze CCM Mbinu za kushawishi Watu Ili wakupigie kura nyingi
Hadi sasa CCM ni kinara kwa Kupata Viti vingi vya Wabunge, Madiwani na Kura nyingi za Rais barani Africa
CCM ni Chuo cha Siasa Barani Africa
Sabato Njema 😀
Mbona humtaji Alh Ali Hassan Mwinyi 1984 alipata ushindi wa 98%?Tuliwahi kuwaambia Watu wa Dunia waje wajifunze CCM Mbinu za kushawishi Watu Ili wakupigie kura nyingi
Hadi sasa CCM ni kinara kwa Kupata Viti vingi vya Wabunge, Madiwani na Kura nyingi za Rais barani Africa
CCM ni Chuo cha Siasa Barani Africa
Sabato Njema 😀
Hakuwa na mpinzani. Hiyo albaki ya 2% Ilienda kwa mzimu wa chama dola.Mbona humtaji Alh Ali Hassan Mwinyi 1984 alipata ushindi wa 98%?
Sidhani asee. Sidhani Tindu anamkumbukaHakika watanzania wote tunamkumbuka maana mama Yao(kizimkazi)kaharibu kila kitu na anazidi kutuharibia tu Nchi yetu.
Tunamshukuru Mungu kwa kutuondolea yule kiongozi muovu bila damu kumwagika. Kama unamkumbuka, mkumbuke kimpango wako.Ni siku ni miezi ni miaka toka Rais Magufuli atuachie pengo kubwa lisiloweza kuzibika mpaka Yesu arudi
Waliokuwa wanamchukia sasa wana mtamani. Kila mtu ana mkumbuka Magufuli na kila mtu angetamani Magufuli arudi Ila haiwezekani tena tumebaki kulia
Kwa kuvurugia vijana ndoto zao baada ya kufuta ajira.View attachment 1734652
Picha: Hayati Rais Magufuli enzi uhai wake
This is a special thread and a tribute to the late J.P.M.
Najua tupo katika kipindi cha masikitiko kama taifa, Jemedari wetu amefariki dunia, kama lisemavyo neno la Mungu katika kitabu cha biblia kuwa mfalme hawezi kuokolewa kwa na jeshi lake kubwa bali ni Bwana hutuponya na mauti (Zaburi 33:16), yaliyoandikwa yametimia Mungu amlaze mahala pema peponi.
Hakika tutammiss, kama ule usemi usemao umuhimu wa mtu huonekana zaidi asipokuwepo.
Yafuatayo ni mambo aliyonikosha J. P. M (R. I. P).
1. Nidhamu kwenye taasisi za serikali, kuanzia matumizi, utendaji wa kazi na utoaji wa huduma.
2. Msimamo bila kujali nchi nyingine zimeamuaje, kimsingi maamuzi mengi yalifanywa kuzingatia maslahi ya nchi sio mkumbo ( i.e chanjo ya corona).
3. Super-Mega projects zenye maslahi ya muda mrefu, S.G.R, Nyerere, Mwendokasi n.k.
4. Kuwanyoosha majirani zetu walizoea kutuibia na kutuchezea michezo ya ajabu ajabu.
5. Kuleta siasa za kuambiana ukweli na sio za kubembelazana hovyo.
6. Kukomesha ujambazi na matukio ya kihalifu majumbani.
7.
Itaendelea...
PIA SOMA>> TANZIA - Rais John Pombe Magufuli afariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar
HakikaView attachment 1734652

Nipo mpaka 2026 na Mwenyezi Mungu akibariki Museveni akisema atagombea tena 2026 nitakuwepo au kama Muhoozi atagombea ndiyo naweza kuwepo mazima huku na hata huko Tanzania nikapasahau kabisa. Na kama Mwenyezi Mungu akibariki zaidi basi naweza pia miaka hiyo hiyo nikawa AU au SADC au EAC upande wa Tafsiri kwa Uratibu maalum wa hapa nilipo. Tunza hii post kwa kumbukumbu na matumizi ya baadae kwani nimekuandikia kwa Kujiamini kwa 100% kama ilivyo desturi yangu.Kaka bado Upo Uganda?
Tunarudi nyuma tena Miaka kaka,kweli wewe umezoea reverse so Upo mpaka 2016?Nipo mpaka 2016 na Mwenyezi Mungu akibariki Museveni akisema atagombea tena 2016 nitakuwepo au kama Muhoozi atagombea ndiyo naweza kuwepo mazima huku na hata huko Tanzania nikapasahau kabisa. Na kama Mwenyezi Mungu akibariki zaidi basi naweza pia miaka hiyo hiyo nikawa AU au SADC au EAC upande wa Tafsiri kwa Uratibu maalum wa hapa nilipo. Tunza hii post kwa kumbukumbu na matumizi ya baadae kwani nimekuandikia kwa Kujiamini kwa 100% kama ilivyo desturi yangu.
Nimemaliza.