Je, utamkumbuka Hayati Magufuli kwa mambo gani?
Tuliwahi kuwaambia Watu wa Dunia waje wajifunze CCM Mbinu za kushawishi Watu Ili wakupigie kura nyingi

Hadi sasa CCM ni kinara kwa Kupata Viti vingi vya Wabunge, Madiwani na Kura nyingi za Rais barani Africa

CCM ni Chuo cha Siasa Barani Africa

Sabato Njema 😀
Ungeandika "REKODI YA WIZI/UNYANG'ANYI WA UCHAGUZI".Ruto-hustler anakusabahi.
 
Tuliwahi kuwaambia Watu wa Dunia waje wajifunze CCM Mbinu za kushawishi Watu Ili wakupigie kura nyingi

Hadi sasa CCM ni kinara kwa Kupata Viti vingi vya Wabunge, Madiwani na Kura nyingi za Rais barani Africa

CCM ni Chuo cha Siasa Barani Africa

Sabato Njema 😀
Mbona humtaji Alh Ali Hassan Mwinyi 1984 alipata ushindi wa 98%?
 
JPM,

Sielewi kama atatokea mtu mfano wake mwenye kuipenda nchi kiasi cha kuwa tayari kuifia kwa kupambana na mafisadi ya ccm
 
Ni siku ni miezi ni miaka toka Rais Magufuli atuachie pengo kubwa lisiloweza kuzibika mpaka Yesu arudi
Waliokuwa wanamchukia sasa wana mtamani. Kila mtu ana mkumbuka Magufuli na kila mtu angetamani Magufuli arudi Ila haiwezekani tena tumebaki kulia
Tunamshukuru Mungu kwa kutuondolea yule kiongozi muovu bila damu kumwagika. Kama unamkumbuka, mkumbuke kimpango wako.
 
View attachment 1734652
Picha: Hayati Rais Magufuli enzi uhai wake

This is a special thread and a tribute to the late J.P.M.

Najua tupo katika kipindi cha masikitiko kama taifa, Jemedari wetu amefariki dunia, kama lisemavyo neno la Mungu katika kitabu cha biblia kuwa mfalme hawezi kuokolewa kwa na jeshi lake kubwa bali ni Bwana hutuponya na mauti (Zaburi 33:16), yaliyoandikwa yametimia Mungu amlaze mahala pema peponi.

Hakika tutammiss, kama ule usemi usemao umuhimu wa mtu huonekana zaidi asipokuwepo.

Yafuatayo ni mambo aliyonikosha J. P. M (R. I. P).

1. Nidhamu kwenye taasisi za serikali, kuanzia matumizi, utendaji wa kazi na utoaji wa huduma.

2. Msimamo bila kujali nchi nyingine zimeamuaje, kimsingi maamuzi mengi yalifanywa kuzingatia maslahi ya nchi sio mkumbo ( i.e chanjo ya corona).

3. Super-Mega projects zenye maslahi ya muda mrefu, S.G.R, Nyerere, Mwendokasi n.k.

4. Kuwanyoosha majirani zetu walizoea kutuibia na kutuchezea michezo ya ajabu ajabu.

5. Kuleta siasa za kuambiana ukweli na sio za kubembelazana hovyo.

6. Kukomesha ujambazi na matukio ya kihalifu majumbani.

7.

Itaendelea...

PIA SOMA>> TANZIA - Rais John Pombe Magufuli afariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar
Kwa kuvurugia vijana ndoto zao baada ya kufuta ajira.
 
4d2a1515-85a6-42c1-9967-36738e5803ce.jpg
 
Hakika
 
Hili liko wazi kabisa kwamba miradi miwili mikubwa ya Bwawa la Umeme la Mwalimu Nyerere na Reli ya Kisasa ya SGR haviwezi kuifilisi nchi kamwe

Tunajivunia legacy 🌹🌹

Mlale Unono 😀😀
 
Kila nikikutana na Waganda ( Raia wa Uganda ) na wakijua Mimi ni Mtanzania huniambia upesi tu haya yafuatayo......

1. Wananchi wa Uganda tulimpenda sana Magufuli
2. Waganda tunajua Magufuli aliuliwa na Wazungu kwakuwa alikuwa akisimamia Mali za Tanzania na Afrika
3. Waganda wengi tunapenda kuangalia TV yenu ya TBC1 kwasababu ya Magufuli na alivyokuwa Akihutubia
4. Waganda tunaona Magufuli kaibadilisha upesi Tanzania Kimaendelea na angekuwepo ingeendelea mno
5. Waganda tuliipenda ghafla Tanzania hadi hata kuionea Wivu kwa kuwa na Magufuli
6. Waganda tulifaidika nae sana japo hakuwa huku Kwetu na tutamkumbuka na wengine tunamlilia mno
7. Waganda tulifika sehemu hata kutamani Magufuli awe Rais wa Afrika ili Wazungu waache Kutunyonya Waafrika

Upumzike kwa Amani Hayati Magufuli najua umesahaulika ila Mimi GENTAMYCINE nitakukumbuka na kukuimba sana.
 
Kaka bado Upo Uganda?
Nipo mpaka 2026 na Mwenyezi Mungu akibariki Museveni akisema atagombea tena 2026 nitakuwepo au kama Muhoozi atagombea ndiyo naweza kuwepo mazima huku na hata huko Tanzania nikapasahau kabisa. Na kama Mwenyezi Mungu akibariki zaidi basi naweza pia miaka hiyo hiyo nikawa AU au SADC au EAC upande wa Tafsiri kwa Uratibu maalum wa hapa nilipo. Tunza hii post kwa kumbukumbu na matumizi ya baadae kwani nimekuandikia kwa Kujiamini kwa 100% kama ilivyo desturi yangu.

Nimemaliza.
 
Nipo mpaka 2016 na Mwenyezi Mungu akibariki Museveni akisema atagombea tena 2016 nitakuwepo au kama Muhoozi atagombea ndiyo naweza kuwepo mazima huku na hata huko Tanzania nikapasahau kabisa. Na kama Mwenyezi Mungu akibariki zaidi basi naweza pia miaka hiyo hiyo nikawa AU au SADC au EAC upande wa Tafsiri kwa Uratibu maalum wa hapa nilipo. Tunza hii post kwa kumbukumbu na matumizi ya baadae kwani nimekuandikia kwa Kujiamini kwa 100% kama ilivyo desturi yangu.

Nimemaliza.
Tunarudi nyuma tena Miaka kaka,kweli wewe umezoea reverse so Upo mpaka 2016?
 
Back
Top Bottom