Kweli Akili ni mali,kwa kujiamini kabisa Utakuwepo mpaka 2016? Juzi uliandika uzi wa baba paroko huko kawe ukasema ulipokua ibadani sasa sijui Uganda kuna kawe au Niaje.

Majigambo mengi kumbukumbu kisoda
 
Nimekuambia ni typing error na ni 2026 sasa sijui kwanini huelewi. Kwahiyo ukiwa nchi nyingine huwezi kuyaandika ya Kwenu Tanzania?
 
Magu alikuwa vizuri ila aliharibu kutupitishia CCM nchi nzima, na kuwateua machawa kushika nafasi za kiuongozi.!!
Nchi imekuwa ya kichawa chawa tupu.
Nakuelewa kwa kiasi fulani na hata Kukubaliana nawe pia Mkuu.
 
Nipo Mutukula nakula ndizi nyama, Nakuja huko hatua kumi nyingi.
Heshima nyingi kwa mzee wangu Museveni.
 
Kuna kitongoji kinaitwa mengo kisenyi hapohapo Kampala mjini kimekaa kama keko hivi ukiingia huko ni luswahili kwenda mbele kama uko mbagala
 
Kuna kitongoji kinaitwa mengo kisenyi hapohapo Kampala mjini kimekaa kama keko hivi ukiingia huko ni luswahili kwenda mbele kama uko mbagala
Sasa nipo hapa Kitongoji cha Kinawataka ( Chinawataka ) Jambula Stage ukiwa Nakawa nasubiria Mdudu ( Pork ) yangu Ikaangwe vyema Niile.
 
Bananisha huyo tutusa kwenye kona asichomoke.

Cc: LIKUD
 
Magufuli ametufundisha kwamba, mtumishi wa umma, kazi ndiyo humbeba na siyo ukwabwa wa cv zake, jambo lingine ni kwamba, Tanzania haimtegemei mtu mmoja au familia fulani maarufu katika kujiletea maendeleo

Na kwa mbaali sana hata Rais Samia ameanza kuamini hili, ndiyo maana kawatumbua ambao wengi hudhani bila ya wao TANZANIA haiwezi kiendelea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…