Kiingereza, Kiganda na Kiswahili. Na tayari sasa Lugha ya Kiswahili inafundishwa kuanzia Shule za Msingi hadi Upili na kama haitoshi Bunge la Uganda mapema mwaka huu lilitangaza rasmi kuwa Lugha ya Kiswahili ndiyo itakuwa inatumika mahala pengi ( hasa Serikalini ) Na kwa miaka mingi Wanajeshi wa Uganda wanazungumza Lugha ya Kiswahili pamoja na wana Usalama wao.
Na kama haitoishi hata Chuo Kikuu cha Makerere kupitia Uratibu wa Balozi wa Tanzania nchini Uganda Meja Jenearali Simuli wameandaa Programu Maalum wa Lugha ya Kiswahili hapo na tayari Wanachuo wengi wa hapo ( hasa Waganda ) wanajifunza na Kuifurahia zaidi.
Kama wakati nasoma Uganda miaka ya 1996 hadi 2001 tayari mwamko wa Lugha ya Kiswahili ilikuwepo kupitia Rais Museveni kuwaomba Waganda wajifunze na Wazungumze ndiyo Kiswahili kisiwe kinajulikana na kuongelewa kipindi cha Awamu ya Hayati Magufuli cha mwaka 2015 hadi 2021 alipotutoka duniani?
Ni Mpumbavu tu pekee na Mshamba ndiyo mpaka sasa hajui kuwa Wananchi wa Uganda wanaongea Lugha ya Kiswahili japo wanaweza wasiongee Kiufasaha kama Watanzania wenyewe ila wanakizungumza na hata wanakisikia vyema tu.
Huwa nasikia raha sana kutoa Ufafanuzi Kuntu kwa Majuha ( Fools ) waliotudanganya wana JamiiForums kuwa miaka ya 70 waliyozaliwa Wao Mkoani Dar es Salaam kulikuwa hakuna Hospitali ya Agha Khan ambayo kwa bahati nzuri ndiyo hata GENTAMYCINE nilizaliwa hapo bali Hospitali pekee zilizokuwepo kwa wakati huo ni yake ya Choka Mbaya ya Ocean na ya Muhimbili.
Ushauri
Siku zingine kabla ya Kuuliza Swali kwa GENTAMYCINE muwe mnajiridhisha zaidi Kitaarifa ili msiendelee kuonekana Fools.
Nimemaliza.