"Na Mimi nataka niseme Watanzania mtanikumbuka na mtanikumbuka kwa mazuri na si kwa mabaya kwasababu nimesacrifice maisha yangu kwa wananchi masikini"
 
Tuliwaonya kuwa laana ya kushangilia kifo cha Magufuli ni kubwa.

Baada ya miaka 3 mnayo hiyo amani mliyosema mtapata? Hamtekwi tena? Hamshindwi tena kwenye chaguzi? Watu hawakimbii chama chenu tena?

Na laana iwatafune milele nyumbu nyie
 
Duh, kwenye wizi wa kura sasa!
 
Shujaa Magufuli alikuwa miongoni mwa Watu wachache waliomshusha Dr Kigwangalla kutoka ndani ya Ndege akiwa hajitambui baada ya kupata ajali Mbugani.

Shujaa Magufuli alikuwa mkali lakini alikuwa na Huruma sana ebu fikiria Rais kwenda kumbeba Kigwangalla akiwa kwenye Machela ni Upendo wa ajabu

Tunasubiri Press ya Chadema alasiri ndio hii 😄
 
Hasara kubwa hii.
 
Wewe jamaaa buana
 
Mkuu Yohane Mbatizaji, johnthebaptist , kwanza asante kwa taarifa ya wema wa Shujaa, JPM, ni kweli alikuwa mwema sana na mwenye huruma, hata aliposikia kiongozi fulani mkubwa wa upinzani anashindia mihogo, akamuwezesha kwenda uhamishoni, na aliposikia anapiga vibarua vya kubeba box supper market, akampiga ubalozi!, Ulaji Dr. Slaa: Magufuli anazidi kuthibitisha ni Rais wa wote, mwenye huruma na anayejali. Dr. Shika kuteuliwa?

But what is the linkage ya wema wa Shujaa na Press co ya Chadema?.
P
 
Alikuwa shujaa wa Nini?
 
Hatunaga mambo mengi wala mbambamba

Bwana atawapigania ninyi nanyi mtanyamaza kimya

Baadae Mlale Unono 🌹🌹
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…