Hayo yote ni just hear says
Hakuna mwenye ushahidi au udhibitisho ni kweli alifanya

Na kila kiongozi anakuwa na watu wa upande wake, so ww Kwa upande wako JPM ni mtu mmbaya Kwa kiasi hicho ila kwa mtu kama babu seya atakwambia jpm ni malaika
 
Even for those who hated his guts, NOT EVERYONE WILL ACCEPT THIS AS TRUTH, because it is all lies and speculations.
 
---Akina mama wazuri wazuri humo serekalini walipata tabu kweli kweli, huyu jamaa alikuwa anakwenda kuwa zaidi ya Idd Amin - - -
Wapo wajinga walimfurahia.
 
Weka proof

Nawe ni "mtanikumbuka" 😅😅😅😅

Watu mna midomo mirefuuuu kama vile uliyoyatenda haukutenda kiukweli ukapokea sindano

Kazi iendeleeeeeee
Hadi 2030 na zaidi
 
.....and worst enough, he introduced the habit of killing people which has been inherited by Samia. What a fuc.ken country?
 
Weka proof

Nawe ni "mtanikumbuka" 😅😅😅😅

Watu mna midomo mirefuuuu kama vile uliyoyatenda haukutenda kiukweli ukapokea sindano

Kazi iendeleeeeeee
Hadi 2030 na zaidi
Wewe lete ushahidi wa kukanusha hiki anachosema. Vinginevyo ufunge bajauli lako, uende ukojoe ukalale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…